Recent content by yopy

  1. yopy

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Suala la sadaka na zaka kwa karne hii naona inamantiki Sana kama utaitumia sadaka yako na zaka yako kusaidia wahitaji na wasiojiweza kuliko kutoa kwenye makanisa ambayo Sasa yamegeuka biashara. There are a lot of needy people out there wanahitaji msaada.
  2. yopy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa Kiislamu hawaogopi ndoa kama Wakristo

    Tatizo imani.
  3. yopy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa Kiislamu hawaogopi ndoa kama Wakristo

    Ndoa za kikristo mbona wanandoa wanaweza kuachana vizuri tu. Sheria ya ndoa ya TZ imeainisha several reasons zinawezo weza kufanya mpeane talaka kama uzinzi, ukatili,mwezi kua na kichaa kisichopona etc. Hakuna mkisto analazimishwa kukaa kwenye ndoa ikiwa ndoa yake inamatatizo kama hayo kwa...
  4. yopy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tufanye nini sasa juu ya haya mapenzi?

    Na mkipata hizo hela mapenzi yanaisha.
  5. yopy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini huwa sababu kuu za kuachwa au kusalitiwa na mpenzi, mchumba au mke wa ndoa?

    Kutokuridhika, selfishness
  6. yopy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

    Mungu akusamehe sana,huenda ulichokiandika hapa hukijui.
  7. yopy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

    Mungu akusamehe sana, huenda unachokiandika hapa hukijui.
  8. yopy

    JamiiForums Tanzania Natumai wote tumeshamaliza 'Kuushangaa' Utezi wa Mama, sasa kama JF 'Great Thinkers' jibuni Maswali yangu haya....

    Well said, me naona tuwape muda tutaona utendaji wao, wahenga walisema umdhaniaye ndiye kumbe siye. I hope kati yao humo kuna viongozi wazuri tu.
  9. yopy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

    Haahh! Kubalance mambo ndio Kila kitu.Nmependa[emoji4]
  10. yopy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera kwa wote walioamua kuoa

    Kwakweli hoja yako ina ukweli ndani yake.
  11. yopy

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Afisa Mikopo

    Mkuu, Opportunity hii bado ipo?
  12. yopy

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Afisa Mikopo

    Mkuu naweza kupata hii opportunity? Me nipo Mwanza
  13. yopy

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Umri 25 Jinsia : ke Elimu:University degree Kazi: private lawyer Location: Dar es Salaam Natafuta friends preferably wa kiume, elimu kuanzia form 6, positive minded na mchangamfu.
  14. yopy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

    Mungu atusamehe dunia inapokwenda sio kabisa.
Back
Top Bottom