Wakuu kuanzia sasa nitakua active napost bales mbali mbali na bei, hiyo kontena kama sio leo basi kesho itakuwepo kama iyo ni kontena ya baloo za kilo 95 net godown lipo keko " mbozi road". Ni baloo za china, kama upo dar na unafanya biashara ya mtu tuwasiliane twende nikupeke.
Mkuu sidiria na soksi ni magendo hua zinauzwa kisiri sana hata godown huwezi kuzikuta na ukiulizia unaambiwa hazipo wanahisi unataka kuwachomesha, hua mchina anawauzia watu anaowaamini yeye mwenyewe so hata bei sizijui ila nitamuuliza mmoja wapo anayepewa then nitakupa jibu.
Shukrani kaka, wengi sio wafanya biashara ya mtumba wanazingua tuu na mimi nimejitolea tuu for free kuwatajia bei zenyewe za godown na kuwapeleka bure kabisa bila gharama zozote kwasababu huko mtaani wanapigwa balaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.