Guys mambo vipi, mimi nipo kwenye mahusiano na mdada ambaye amenizidi elimu yaani yeye ana bachela ya mambo ya elimu lakini mimi ni form 4 tu and tuna mpango wa kuja kuoana je kutakuwa na mapnzi ya dhati kweli hapo japo mimi nampenda for real?
Diamond platnumz anachowazidi wasanii wengine wa bongo ni kufanya promotion kwenye kazi zake jamaa anafanya poa sana ndio maana nyimbo zake zinafika mbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.