Kuna mtu alisema kwamba lolote mwanadamu ambalo ameliumba kichwani (theory) au kuliwaza ana uwezo kwa asilimia 100 kulikamilisha
Sipingi hili wazo la time travelling ila sasa hilo wazo la kuuwa wazaz wako ukiwa umerudi nyuma miaka kadhaa (past) ndo sijalielewa hata
Sent using Jamii Forums...
Naomba kuulizwa wapendwa
Kumekuwa na tabia ya wafanya biashara wa maduka kuwakimbia maofisa wa TRA au wakisikia wapo jirani wanafunga maduka yao
Je nn kinafanya wakimbie?
Au kuna unyonyaji wowote,, na unawezaje mshauli mtu wa namna hiyo
Je awamu ya pili ya wanafunzi wa kidato cha tano watakaochaguliwa kwenda kusoma watachaguliwa wote kama walivyoowaorodhesha??
Kama wote ni muda gan watawapanga hawa awamu ya pili???
Kwa anayefahamu tarehe rasmi ya kuripoti BUKONGO sec school iliyopo Mkoani mwanza, ukerewe
Kwa maana kwenye join instruction yao hawakuandika tarehe ya kuripoti na ukisema usubir mpaka ziletwe kuna mawili
Msaada wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.