Hawa ndio watakaopangiwa post za kidato cha tano 2017 awamu ya pili

Jun 13, 2017
35
95
Yohana Wanyange muda watakaopanga wanajua wenyewe na wanapanga kwa awamu kutokana na ufinyu wa shule ikizingatiwa first selection waliofaulu ni wengi Sana na shule za government ni chache kwa advance. Ikiwa waliochaguliwa toleo la kwanza ni wachache wataoripoti shule watapangiwa wote waliowekwa resevu Kama toleo la 2
 

Luqnation Tz

Senior Member
Jul 1, 2017
125
225
tazama majina ya wanafunzi wanao tarajiwa kupangiwa nafasi za kidato cha tano na vyuo vya ufundi awamu ya pili
ORODHA-YA-WANAFUNZI-WATAKAOPANGIWA-AWAMU-II-light.pdf
Lakin Mkuu Title ya orodha hiyo ni " wanafunzi watakaopangiwa kidato cha tano awamu ya pili" lakini hakuja-ambatanishwa na vyuo vya ufundi. Naomba unieleweshe Mkuu hiyo iliyo na vyuo vya ufundi ni ip??. Samahan lakini

Post sent using JamiiForums mobile app
 

HAITHUM

New Member
Jul 3, 2017
1
20
SAMAHANI KWANN ZITOKE MWEZI WA 9 WAKATI WAMEWEKA MUDA WA KURIPOTI MWISHO NI SIKU 14 SASA MUDA WTE WANASHINDWA KUFANYA KITU
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom