Recent content by yohana kaitira

  1. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anyanyuka, aanza mazoezi; kutoka Hospitali Nairobi wakati wowote

    Kwa hiyo unasemaje?
  2. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wamarekani walimzika Osama baharini?

    Balali alifikwa na mauti huko amerika By waziri mkuu Fulani kutoka Tanzania,q Mm siamini kama Osama alikufa au hakufa labda marekani wenyewe watupe video yake wakati wanamshambulia,otherwise wasituletee story kama za kina balali na vichwa vya treni huku kwetu
  3. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Nape: Kuzuia mikutano ya kisiasa siyo kuminya demokrasia na siyo udikteta

    R.I.P siasa udikiteta has in powered
  4. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Party ya mtoto Hamisa Mobeto na Diamond, Prince Dee ilinoga hatareee

    Huyu domondo atawamalizA mademu wa tz wenye akili kisoda kama za kina mobeto
  5. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Huyu mteregano analeta maisha ya chips na soda ya DSM huku kwetu ni kazi tu kama hataki arudi kwao
  6. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Mtu yeyote anayewaza kuoa au kuolewa katika kizazi hiki ni mpumb...vu...

    Umepewa faili Namba ngapi mirembe ndg yangu??? Yaani wewe kutoswa na mtu wako povu lote umeleta huku jamii forum!!! Pole sana hujui kuhudumia ndo maana umetoswa.
  7. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Makosa ya Mtandao kwa 2016, watu 7,000+ wamekamatwa; Mahakama ya Mafisadi haijamshughulikia fisadi hata mmoja

    Vi-wonder ndo kauli mbiu sahizi, binafsi Nina kiwanda cha kubrush vuatu vya matrafic hapa hayo mambo ya mafisadi walwa hana habari nayo sahizi.
  8. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Mji wa Ruangwa anapotokea Waziri Mkuu kiza totoro, maji hamna wiki ya 3 sasa

    Vi-wonder kwanza Umeme baadaye!
  9. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa Escrow, Harbinder Sethi akimbizwa Muhimbili

    Kwa nini amekamatwa? Si zile tuliambiwa kuwa zilikuwa pesa za madafu na zilikuwa Mali yao ni kina lugemalila.
  10. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Starlet Glanza iliyomtesa mwanangu

    Afadhali wewe umenunua Gari bhana mi Nina bajaji yangu inanitosha tena ninainjoy sana na familia yangu ninapotaka kutoka out
  11. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Jinsi Lissu alivyowabadilisha waliomuona Nairobi

    Nyani huoni kundule
  12. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Aisee mama diamond apunguze vijembe kwa hamisa hakuna aijuaye kesho.

    Hakuna jipya
  13. yohana kaitira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya nje ya nchi wazidi kuvunja rekodi ya utumaji wa hela nyumbani

    Muda huo watanzania waongoza kutuma hela nchi za nje kama vile uswisi shelisheli kupitia mifuko ya lambo na fedha za madafu.
  14. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: Nimelazimika kuondoa kwa muda hoja yangu binafsi ya ukomo wa Urais

    Hana jipya Mwanasiasa uchwara
  15. yohana kaitira

    JamiiForums Tanzania Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Swimming pool za nini wakati tuna ziwa?
Back
Top Bottom