Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,583
- 23,572
me nashangaa mwanaume mzima anajisifia kumiliki kluger gari imekaa kikike sana Ile. Starlet inabaki kuwa gari ya kiume daimaHalafu Kluger ni gari maalumu kwajili ya wamama wa nyumbani
me nashangaa mwanaume mzima anajisifia kumiliki kluger gari imekaa kikike sana Ile. Starlet inabaki kuwa gari ya kiume daimaHalafu Kluger ni gari maalumu kwajili ya wamama wa nyumbani
mkuu hiyo gari tafuta mtu umuuzie siyo type yako hizo gari za wamama watu wazima. Hata mwanao hawezi kuvutiwa na hilo gari atavutiwa na gari ya kiume starlet. Huyo jirani yako atatamba sana kuliko wewe. Ungetaka kushindana nae ungenunua toyota mark x,altezza,subaru legacy au hata premio. Hiyo kluger hamna kitu halafu wewe umeshindana na mtu ambae hajawahi hata kujua kuwa unaumia yeye kuwa na gari je vipi kesho akinunua X5 utajisikiaje na gari lako la pension hiloNilihamia mtaa fulani akawepo jirani yetu ana gari aina ya starlet glanza, hali hii ilimtesa sana kijana wangu wa kiume.Sikwamba sikuwa na pesa za kununua gari ya aina hiyo ila sikupenda kumiliki usafiri wa aina hio.
Kila walipotoka kijana wangu aliwachungulia dirishana na kufadhaika sana hakika hali ile iliniumiza zaidi moyoni mwangu, kibaya zaidi wale majirani walikuwa wana mtoto wao pia wa miaka minne sawa na wangu hivo wakati mwingine alimwita 'King'twende mall lakini hakuweza maana si kila mara wazazi wake walimchukua rafiki ake ambaye ni mwanangu.
Mwanangu bila kujua nina sikitika sana moyoni mwangu na kupanga mashambulizi ya kimaisha aliendelea kunichukulia poa tu, lakini moyoni niliweka nadhiri ya kupata chuma nilichoona walau kina hadhi yangu kwani sikutaka ninunue gari leo na kesho nione kama nilikosea.
Tumemkalibisha mnyama 'KLUGER' kwa 16m na mwisho wa siku mwanangu ana furaha baada ya kusuibiri miaka miwili ya kutamani glanza bila kujua baba aliwaza nini.
unaposikia starlet akili yako inaganda kabisa haya angalia hizo za 2015 halafu uje useme tena kuwa toyota wamesahau walitengeneza lini starlet.Haipitwi na wakati kivipi wakati hata toyota washasahau kama waliwahi kuzitengeneza wakaiita starlet???
'Tumemkalibisha' ndio nini?Nilihamia mtaa fulani akawepo jirani yetu ana gari aina ya starlet glanza, hali hii ilimtesa sana kijana wangu wa kiume.Sikwamba sikuwa na pesa za kununua gari ya aina hiyo ila sikupenda kumiliki usafiri wa aina hio.
Kila walipotoka kijana wangu aliwachungulia dirishana na kufadhaika sana hakika hali ile iliniumiza zaidi moyoni mwangu, kibaya zaidi wale majirani walikuwa wana mtoto wao pia wa miaka minne sawa na wangu hivo wakati mwingine alimwita 'King'twende mall lakini hakuweza maana si kila mara wazazi wake walimchukua rafiki ake ambaye ni mwanangu.
Mwanangu bila kujua nina sikitika sana moyoni mwangu na kupanga mashambulizi ya kimaisha aliendelea kunichukulia poa tu, lakini moyoni niliweka nadhiri ya kupata chuma nilichoona walau kina hadhi yangu kwani sikutaka ninunue gari leo na kesho nione kama nilikosea.
Tumemkalibisha mnyama 'KLUGER' kwa 16m na mwisho wa siku mwanangu ana furaha baada ya kusuibiri miaka miwili ya kutamani glanza bila kujua baba aliwaza nini.
Yaani una akili na uzoefu mkubwa . wengi hufikiri kluger ni bora kumbe ni tatizo la kudumu mpaka unaitupastarlet ni gari kali zaidi ya kluger mkuu, starlet ni gari isiyopitwa na wakati,low fuel consmptn and cheap price ni its spears
HahhaahhaBlaza una maanisha ama!!!