Recent content by Yoab Mwana wa Seruya

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kama kizazi cha 70 na 80 kikishindwa kuikomboa Tanzania basi tena

    Kwisha kabisa nyiee
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Kupinduliwa kwa Nkurunzinza

    Ukifikiria kwa mapana pia unaweza ona uhalisia wa tukio na nani mhusika
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kupinduliwa kwa Nkurunzinza

    Kitu kama hicho lazima walitoa sapoti Sent from my CPH1701 using JamiiForums mobile app
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kupinduliwa kwa Nkurunzinza

    MAPINDUZI YALIYOFELI CC F. BUYOBE from Twitter THE FAILED NKURUNZINZA’s COUP D’ETAT Rais Nkurunzinza aliondoka Dar Es Salaam majira ya saa 12 na robo jioni kurundi nchini kwake Burundi akiwa na taarifa juu ya jaribio la mapinduzi. Lakini tulikuja kushangaa kuona ndege ile iliyombeba Rais...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Hivi mm niliehitimu mwaka 2015 nikiomba mkopo siwezi kupata kabisa???
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Maskini wanapata wakati mgumu toka wanazaliwa mpaka milele wakiwa huko Jehanamu

    Huyu jamaa hata kama hana hela ,ila ananipa inspiration ya kutafuta pesa kuuaga umaskini , Kaka Kiduku lilo ,endelea kushusha mawe kiongozi
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Je, ni vipi unaweza kubadili kutoka Diploma kwenda Degree ukichaguliwa chuo

    Wakuu heshima yenu, Hivi iwapo uliomba Diploma kwa kuhofia ushindani na ukachaguliwa, je ukifika chuo unaweza kubadili kwenda Degree? Kama inawezekana unafuata njia/ taratibu zipi? Vigezo vyote vinaruhusu.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Nauza suruali za kadeti

    Kilambalambila guestvhouse
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Nauza suruali za kadeti

    Ww ndio kilambalambila a&b guest house ushirombo?
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Matokeo ya kilimo cha alizeti Singida

    Mm pia nipo ruvuma nahtaji mashine ya kupandia alizet anayefahamu tujulishane..mashine ni ya mkono
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kupandia akizeti

    Habari wakuu , Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nahtaji kulima alizet ila sifahamu mashine ya kupandia akizet ipoje na inauzwa bei gani ..kwa mwenue uzoefu na hiyo anaweza tuma mchango hapa hata kunitumia picha na kama yupo songea anaweza nielekeza mashine inapouzwa au inapokodishwa...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Siri

    Ndo mmefanya nn
Back
Top Bottom