Mashine ya kupandia akizeti

Oct 4, 2018
13
28
Habari wakuu ,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nahtaji kulima alizet ila sifahamu mashine ya kupandia akizet ipoje na inauzwa bei gani ..kwa mwenue uzoefu na hiyo anaweza tuma mchango hapa hata kunitumia picha na kama yupo songea anaweza nielekeza mashine inapouzwa au inapokodishwa....
Nawasilisha
Kamanda Yoab
 
Back
Top Bottom