Recent content by yli nation

  1. Y

    University Admission Results 2020

    itakua anazungumzia food science &tech..ila katik coz mpya za sua hio food health haipo
  2. Y

    University Admission Results 2020

    shida ni o-level kwa raia wengi walio kosa kwa 7bu ata vigezo wanasisitiz vigezo o level
  3. Y

    University Admission Results 2020

    ee chifu ata mi dip ila kunawashakaj zang pia wamepata....we dip ulipig nn boi
  4. Y

    University Admission Results 2020

    wale wa SUA mzigo tayar .fungua acc yako
  5. Y

    University Admission Results 2020

    vp umeangalia katik acc yako au
  6. Y

    Naomba kufahamu hii kozi kutoka SUA Biotechnology and laboratory sciences

    hii coz inahusiana na utaalam wa maabara (kwa wanyam /binadam/mimea nk)..pia inahusisha usimamiz na utendaj wa tafit za kimaabara katik mambo mbalimbal km magonjwa ,madawa mamb ya florensic nk nk....kifup ni moja kati ya coz pana saanaaa na nzuri pia
  7. Y

    Bsc. Crop production and managent(SUA)

    cheki website yao af angalia maelezo ya koz husik
  8. Y

    Naomba msaada wa namna ya kupata Reference Number maombi ya chuo

    ukisha jisajili wanakupa password na username..tumia kulog in then utaona ujumbe umeandikwa kwa maandish mekundu utaiona apo. japo ata ukilog in hautaingia mpk ulipie iyo pesa
Back
Top Bottom