Recent content by Yetuwote

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa viongozi wa CHADEMA huu hapa

    Huna hoja
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Barua ya siri ya Lema kuvuruga Arusha yanaswa, awatishia madiwani wa CHADEMA kufukuzwa endapo...

    Hata kwa akiri ndogo tu unaweza kutambua kuwa ni uongo mputu. Yaani wagombea ambao hata kura hawajapigiwa awaandinkie barua kuwaonya kutomptambua meya? Duh!
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya umma yashinda uchaguzi chuo kikuu cha ruco

    RUCO - Ruaha University College
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba yupo wapi?

    1. Umesema kuna mambo mengi sana kuhusu kupotea kwa Mwigulu! Taja machache basi 2. Unadai wengine wamezusha mengi! Taja angalua machache waliyozusha. 3. Unataka aje afanye nini wakati hujaeleweka unataka nini?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: HOTUBA ya Kambi ya Upinzani iliyosomwa na Lissu, Katiba na Sheria, yaibua makubwa bungeni

    Hivi kweli wewe ni kamura kweli? Au jina tu?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kigwangallah matatani kwa tuhuma za ufisadi

    Hata kama ni la udaku unatakiwa kusema kama ni kweli au uongo. Kwa habari hii je, hakusamehewa kodi? Je hakuingiza bidhaa hizo? Je kampuni si yake? Je, hakuuza hivyo vifaa vilivyo samehewa kodi? Ujue kwa kariba yako hukutakiwa kusema tu ooooh! Tanzania daima ni gazeti la udaku. Jibuni tuhuma hizo
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

    Unawajua waarabu? Kumbuka enzi za utumwa.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Limevunda CHADEMA

    Umenena, nilitaka kusema hivyo hivyo.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa DODOMA wapuuza ujio wa CHADEMA jana

    Kipenga unajitahidi lakini husikiki. Nakuonea huruma sana kwani wewe ndo unatoka povu kwa mabandiko yako yasiyo na mwelekeo.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Tsunami ya Kinana yaimaliza CHADEMA Gairo

    Nadhani hujajitambua ndo maana unaitwa mlengera
  11. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA MMefungua NJIA!

    Unajifariji eeeeh!
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    Ungesema daktari jaa, usiwaunganishe na wasiokuwemo.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    Bana anaeleweka huwa hana point.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Mjengwa asitisha mahusiano na Ludovick Joseph kwa tuhuma za 'kuhusika na matukio ya kigaidi'

    Ingependeza kama Mjengwa angesubiri uchunguzi na uthibitisho wa tuhuma kwa "udovick. Ina maana mkewe akituhumiwa atampa taraka? Nilitegema angesema watampa msaada kupata haki yake. Kuna jambo nyuma yake.
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

    KIBE uspinde sana kuibedha chadema, jizoeshe kuipenda usijepata mshituko 2015
Back
Top Bottom