Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Status
Not open for further replies.
Umechambua vizuri ILA una kitu nyuma ya uchambuzi wako!Nchi za KIARABU ZILITUDHALILISHA SANA WAKATI WA BIASHARA YA UTUMWA! Ukikumbuka hilo utaenda mbele ukiwa macho wazi!Kwani mbona Tanzania haina UBALOZI Israel?N i kwa sababu CCM wana-mahusiano na nchi za Kiarabu?! TUACHE UPUUZI!

Utumwa uliletwa na wazungu kama hujui historia sema ufundishwe mama sio unakurupuka tuu
 
Je nani anayechangia kiasi kikubwa katika bajeti yetu?Mwarabu au Mzungu?
Tupe jibu Lul
 
We mleta uzi ungetaka iwe rafiki na mama yako? Tafuta mambo yamaana yaku discuss sio upuuzi huwa.

Watu wanaoba madini na wengine wanaficha kodi zetu nje ya nchi wewe unafikiria upuuzi tu kichwani kwako!

Huna tofauti na Mwigulu wewe!
 
Wewe wanafunzi wa form iv zaidi ya 60% wamefeli hilo hulioni, ukesha hongwa kofia na Tshirt basi kazi nikuandika ujinga tu hapa!
 
chadema bwana, mkibanwa na maswali badala ya kujibu mnatukana, hapa vipi? tuelewesheni inakuwaje
 
Mwarabu au mzungu anatuhusu nn sisi watanzania?
 
Ni kwa sababu bado haijaona umuhim wa kufanya hivyo kwa sasa.
 
Maeneo yote walikowahii kaa waraabu kuna umaskini wakutisha, na watu wake wako duni sana kielimu!
Nakubaliana na wewe kabisa. Eneo alilokaa mwarabu hapa nchini lazima liwe maskini. Sijui ni kwa nini!!!!
 
Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

Rafiki wa CHADEMA kwa sasa ni;-

Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia

Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia

WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO WALIOFILISI TANZANIA HADI KUFIKIA UMASKINI HUU.
Wazungu kwa ujumla ndio waliofilisi Tanzania hadi kufikia umaskini huu,ndio wanaoiba rasilimali zetu kama Gesi na dhahabu na kutuachia mashimo.


Jipu lako limeiva njoo tulipasue. :rockon:
 
Kwani kuna msemaji wa Chadema hapa? au umeambiwa ofisi za Chadema ziko JF?
Bangi nyingine hizi jamani

99.1199199944555171711% ni CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tatizo lako umekariri vby. tunajua unachotaka kutuaminisha lakin kwa taarifa yako kuna waarabu WAKRISTO. usichanganye uarabu na uislamu boya ww.. kuna uislamu kama dini na uarabu kama lugha tu.

Nimepapenda hapo......Lakini mbona huwa mkiona maandishi ya kiarabu huwa mnasema 'QUR-AN HIYO'................?
 
Nini malengo ya post yako? kwanini umetaja uarabuni na sio Amerika ya kusini? hao wazungu aliewaruhusu wachimbe madini yetu ni nani? ni CDM au serikali ya chama kingine,wakati wakiiba gesi na dhahabu serikali ilikuwa wapi?
 
Respect ndugu yangu.Swali lako ni kwanini chadema compared with Ccm(serekali)na CUF haipati misaada kutoka nchi za kiarabu?unaimanisha ccm na Cuf ni vyama vya waislam na chadema ni chama cha wakristo?na kama ni hivyo basi ni vizuri kwasababu tatizo la udini mnalojidai kulipigia kelele wakati nyie ndio mliolianzisha kwasababu ya kutafuta kura za uraisi 2015 litakuwa limepata suluhu.wakristo wote nchini watajua ni chama gani wakipigie kura na waislam wote pia nao watajua ni chama gani wakipigie kura 2015.mnavyozidi kuforce na kudanganya wananchi kuhusu suala la ukristo kwenye chama cha Chadema mkifikiria kwamba mtapunguza idadi ya wafuasi na wapiga kura waslamu chadema mtasababisha Chadema nao waseme ccm na Cuf ni vyama vya waislamu.still mtashindwa tu 2015.be blessed!
 
Udini = ushetani. Kimbieni. Tupende kumcha Mungu tusipende udini. Kila amchaye Mungu lazima awe mwenye amani, apendaye wote, asiyebagua, nk.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom