Recent content by Yetura

  1. Yetura

    Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

    Mkuu, Kwanza kabisa yeye huyo akupe ushahidi unaojitosheleza. Sio maneno matupu kama aliyokuja nayo. HEBU PATA USHAHIDI KWANZA.
  2. Yetura

    Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

    Kifupi Magufuri anakumbukwa mno, na Watanzania wengi, wasiofika humu Jf. Watanzania wanaomkashifu waishio Jf ni kakundi kadogo mno mno. Nje huku jamii kubwa bado inamkumbuka Magu kwa upendo wa dhati.
  3. Yetura

    Mamlaka zimegoma kuifungia New Force?

    Kwani hizo ajali anazoripoti ni za ukweli au si kweli? Ili kama so za kweli naunga mkono achunguzwe.
  4. Yetura

    LATRA yafungulia mabasi 38 ya kampuni ya New Force kuanza safari za usiku

    Yaani kila nikisoma habari za New Force, nawazia ajali ajali.
  5. Yetura

    Nimekumbwa na tatizo la hair loss na ninavyoona sio hair loss ya kawaida, ni upara kabisa

    kwani mkuu kuna tatizo gani kukikubali na kuishi nacho?
  6. Yetura

    Mpaka kufikia hapa nina wasiwasi na uwepo wa shetani, uwepo wa Mungu

    Na hata sasa bado unaendelea kutunga ya kwamba hakuna Mungu wala shetani.
  7. Yetura

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Mateso na adha azipatazo mwanadamu yanafikirisha mno.Ingawaje umewasilisha ktk lugha ya ghadhabu na hasira, Lakini una jambo zito tatanishi.Ni vema anayewiwa kujibu ajiibu kwa hoja isiyo na ghadhabu wala hasira, matusi wala vitisho. Kwa kufanya hivyo hekima zenu zitawavutia wengi na zitaleta...
  8. Yetura

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Shukrani kwa elimu pana hii. Je, ninapochinja ile damu ninaiacha imwagike pale chini?
  9. Yetura

    Je, ni kweli muislamu akibadilisha dini adhabu yake ni kifo?

    Dini imeshindwa kumaliza vita pale sudan...wanachinjana kinyama na quran zao mkononi.
  10. Yetura

    Je, ni kweli muislamu akibadilisha dini adhabu yake ni kifo?

    Dini hizi hazina msaada. Sasa jinsi wa-sudan wanavyochinjana vile, wanavyobakana vile, halafu uje uniambie linaongozwa na sharia....duuh ni kichefuchefu.Quran imeshindwa kuwapatanisha wale ndugu kule Sudan?
  11. Yetura

    Utafutaji ni majaribu kwa wanawake

    Ni kweli maasi yamekuwa mengi na uchafu wa kila aina. Mungu kulipua pale Hawaii ni habari inashangaza, wamemkosea nn Mungu mwenye upendo, hata akashindwa kuwahurumia watu wale pamoja na watoto wao?
  12. Yetura

    Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Mkuu, unaweza kuwa sahihi kabisa...Wako humu wanachungulia-chungulia tu, Maana hawana cha kujibu "
  13. Yetura

    Kuna mtu humu amewahi kusaidiwa na bwana Rakims?

    Hao wote sijui kama ni matapeli au la, ila tapeli ninayemjua mimi anaitwa BADAWI, anapenda kujiita shehe Badawi.Huyu bwana ni kijana mdogo tu matangazo ya tiba zake yako kule You tube channel.Nitakuja kueleza humu jamvini jinsi alivyonitapeli pindi nipatapo wasaa. BADAWI NI TAPELI HASA
Back
Top Bottom