Mamlaka zimegoma kuifungia New Force?

Mamlaka zimegoma kuifungia New Force?

Baada ya jana Jumapili kupata ajali basi lake moja. Leo Jumatatu gari lake jingine limemgonga mwanajeshi Makambako. Chanzo cha ajali ni mwendokasi na overtaking ya ovyo Kwa dereva wa kampuni hiyo.

Tukumbuke hii gari Ndio ilipata ajali mwezi wa sita maeneo ya Mlandizi kwa dereva huyo kugonga lori

Mamlaka zimegoma kuifungia na kuwafutia leseni madereva wa kampuni hiyo.
Wamefungiwa Leo hii.
 
Ishu siyo madereva! Hata hao wanaotoa/kufungia leseni wangekuwa ndio wanaendesha hizo ajali wasingeziepuka!
Labda wafungie kampuni, na wakifanya hivyo
mabasi yataitwa Freyzem Luxour!
 
Mamlaka zinangoja mabasi yaishe kwanza kwa ajali hivyo uwe na subra.
 
Baada ya jana Jumapili kupata ajali basi lake moja. Leo Jumatatu gari lake jingine limemgonga mwanajeshi Makambako. Chanzo cha ajali ni mwendokasi na overtaking ya ovyo Kwa dereva wa kampuni hiyo.

Tukumbuke hii gari Ndio ilipata ajali mwezi wa sita maeneo ya Mlandizi kwa dereva huyo kugonga lori

Mamlaka zimegoma kuifungia na kuwafutia leseni madereva wa kampuni hiyo.

Ikifungiwa NEW FORCE inazaliwa NEW FACE au FULL STOP SAFARIS SERVICE maramoja😳
 
Nyuzi zote za ajali ya New Force huwa unazileta wewe, inabidi uchunguzwe huenda unaihujumu hii kampuni...
Vyombo husika hili nalo mkalitizame.
Kwani hizo ajali anazoripoti ni za ukweli au si kweli?
Ili kama so za kweli naunga mkono achunguzwe.
 
Unatoa ushauri kampuni ifungiwe unasahau kuwa kuna watu wameajiliwa kwenye hiyo kampuni,kwanini lakini? Ukiona gari lina mwendo wa ajari usipande wapande wengine.
 
Back
Top Bottom