Imepita miezi sasa tangu niapply kwa mara ya kwanza na hatimaye ku-appeal baada ya tangazo lao la kutia matumaini na tambo za kutosha kwenye vyombo vya habari kwamba"HAKUNA MWANAFUNZI MWENYE SIFA ATAKAEKOSA MKOPO" na kauli nyingine nyingi zifananazo na hii.
Leo tena ilhali mimi bado...
Ambokile kitu gani iache mamlaka ya uteuzi ifanye kazi yake......isije ikawa utetezi wako una 'kaunyaki' ndani yake ilhali huku kitaa kuna WACHINA,WAVIETNAM,WAGHANA,WAZAMBIA,MAKABURU na wengine wengi tu makumi kwa mamia na hawa ni wale ninaowaona mie baadhi yao wanazaidi ya miaka 10 nchini...
Kwa nini na taarifa za continuing students zisiwekwe OLAS/hazipatikani online?Na vyuo vingine vinashindwa nini kuiga SUA na IFM katika utoaji Wa taarifa za continuing students waliopata mkopo online kwenye website zao?
Mpaka sasa zimetumia hela za moto"riba"kufanya registration halafu MIJITU mingine inatafuta promo kwenye media.Hivi Kati ya Mkurugenzi Wa Bodi na ma Loan Officers Wa vyuo nani bosi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.