Recent content by Yesu

  1. Y

    Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

    Unajua Mda Mwingine Na question ur credibility ya kufikiria inakaa ni ndgo Sana Ni Lini hyo Serekal Imekuja Na majibu Yalio Jitosheleza Au kutuletea wahusika Wazi tukawafahamu wa matukio Ya utekaj Au Mauaji yanayoendelea Nchin
  2. Y

    Rais Magufuli ni muumini sana wa "quantity" na siyo "quality"

    Bro Sizan Kama Hii Unacho Ongea umefanyia Uchunguzi Wa Kina Nacho Famahu Kuna Walimu Wengi Sana Ambao hawajapatiwa ajira kwanzia Walio Hitimu 2015 mpka leo na Kumbuka Vyuo Vinatema wahitimu wa Uwalimu takriban 4000 kila Mwaka Na Piga Hesabu toka 2015 mpaka leo wote hao hawana Ajira Na Tatizo Sio...
  3. Y

    Rais Magufuli ni muumini sana wa "quantity" na siyo "quality"

    Ange Balance kwakua Hpo mwanzo Tu Mtoto kabla yake pamoja na elimu ilkua sio Bure lakin kuna wakat mwanafunzi anafika mpka lasaba hajui Kuandka vzr hata jina lake hyo ni kutokana na Uchache wa walimu mishahara duni ya kukatisha tamaa walimu na pia Vitendea kazi Duni kabisa navyo pia ni vichache...
  4. Y

    Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Hivi Majuzi Kuna Kiongoz Flan Hv alisema Tuna Hela zetu..Hiz kaul za Sasa Zinaonesha Dhairi nchi haiko kwenye Mikono Salama..Kuna Mdau Alisema Technology is a very dangerous thing in politics coz Inawaumbua mnoo Politicians leo ataongea kila na hpo kasahau siku chache zilizopta alisema hela zipo...
  5. Y

    Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

    Bro Bro Kwanza Huyo Cjui ndo Naibu Waziri Hana Hoja Maana katika Zle sku 21 walzo pewa c aliyasema au angeyasema haya lakn yalkua hayaingii akiln kwa CAG ndo maana wakatupulia mbal maelezo yao hafifu..Sasa leo wanajfanya kutafta njia ya Kudanganya wananchi Huku walshindwa kumshawsh CAG..Wa Tz...
  6. Y

    Hakuna aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe

    Acha kua na Fikra Finyu Kaka Pole Pole Na Kafulila hawajajibu Hoja Yoyte juu ya Upotevu wa hizo 1.5trillion walicho kifanya nu kujitahid kuizima mada maana Wao na Serekal yao walipewa siku 21 kuwaeleza CAG hzo Pesa Ziko wap na Zimetumikaje na Walishindwa Pamoja Na wataalamu wao wote na Ndio...
  7. Y

    Zitto awataja mafisadi wa mabilioni ya Uswisi!

    Toka 30th June 2017 bro Yan sku nyingi sana
  8. Y

    Zitto awataja mafisadi wa mabilioni ya Uswisi!

    Huu Mnatumia Nguvu Nyingi Sana Kumtuhumu Zito Kwan yeye Ndo alitoa Hesabu Data Za CAG mshambulien CAG kwa kuwaumbua zito alicho kifanya ni Kutilia mKazo na kutka maelezo ya hoja Ambayo mlishindwa kutoa kwa CAG pindi Inakusanya Data..Ila mnacho kifanya ni kutokwa na Povu Tu Na Kujitahid Kuizima...
  9. Y

    Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

    Unajua Bro..Jitahidi Sana kutumia akili Kuliko Ujinga Haya Tuambie Fisadi Gan papa Ambae mpka sasa Kafilisiwa au Ypo mahakaman..Maana Kina chenge,Anna Tibaijuka bado wanadunda Tu..Cha Kufanya Jibu Hoja Hizo 1.5 trilion Zimekwenda wap Maana Serekali Ilipewa Siku 21 na CAG kutoa maelezo ya kina Na...
Back
Top Bottom