Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

Habari....

Back in time kipindi cha upigaji.

-Mishahara iliongezwa.

- Wanafunzia walikopeshwa.

-Miradi ilitekelezwa.

-Tulikuwa tuna uhuru wa kukosoa.

-Bei za bidhaa zilipanda kwa mpangilio

-Deni la taifa lilikuwa dogo.

- Hatukuwahi kupoteza 1.5trillion

-Hatukuishi kwa matumaini.

2020 upinzani tumieni vijana vizuri


mr mkiki.
 
TANZANIA, "Nilitamani mwaka huh nipandishe mshahara ila kutokana na changamoto tulizonazo nimeona tumalize kwanza" Magufuli

KENYA "Serikali ya Kenya imeongeza 5% ya mshahara kwa kiwango cha chini. Nataka kuwepo mazungumzo ya kutatua migogoro ya wafanyakazi " kenyatta.

View attachment 762609View attachment 762610View attachment 762612View attachment 762613

Rais kapanic hotuba ya katibu mkuu TUCTA amejikuta anaongea kama mtu ambaye hajasoma

Hivi Majuzi Kuna Kiongoz Flan Hv alisema Tuna Hela zetu..Hiz kaul za Sasa Zinaonesha Dhairi nchi haiko kwenye Mikono Salama..Kuna Mdau Alisema Technology is a very dangerous thing in politics coz Inawaumbua mnoo Politicians leo ataongea kila na hpo kasahau siku chache zilizopta alisema hela zipo na Hazina iko salama..Na Video zipo za vioja vyote
 
Nimekumbuka nyimbo moja ya bongo fleva ya kitambo kidogo.
bahati mbaya simkumbuki aliye imba, ila nayamumbuka mashairi machache tu.
"Baba J alipopata mafao, tabia ikabadilika..."
mtu fulani anikumbushe hiyo nyimbo tafadhar
 
Waache kazi kama pesa haitoshi, wajinga Sana watumishi hivi anajua wakulima na wafanyabiashara wanaoendesha nchi hii wanahali gani
 
Back
Top Bottom