Recent content by yeon

  1. Y

    Kilio cha waliokuwa wafanyakazi wa NIDA kwa mheshimiwa rais

    ivi waziri wa mambo ya ndani yupo hai? waziri wa kazi je? suala la nida limekua gumu wahindi wakitunyanyasa sijui tutakmbilia wapi poleni vijana haki ya mtu haipotei inachelewa tu
  2. Y

    Kikwete akataa tena IGP Mwema,Jack Zoka & wenzao kustaafu

    why kikwete/ mwinyi????? wengine hawana mapungufu?
  3. Y

    Rais 2015

    lowasa
  4. Y

    Customer care representatives

    ku pm ndo unafanya vp naomba muongozo
  5. Y

    Customer care representatives

    jamani ku pm ndio vipi nifunzeni wana jamii
  6. Y

    Tunatafuta wafanyakazi

    wizi mtupu hawa baadae wata request hela za interviw na training kuweni makini
  7. Y

    Mshahara kama huu haujawahi kutokea

    haha haaaa gnld iyo tiensh na forever living
  8. Y

    Nimehangaika kutafuta kazi nimeipata bahati mbaya...

    ndugu hata kwa balozi lala mckitini lala ni kwa cku chache 2 ningekua mimi naizi shida za kazi nicnge fikiria mapema unaambiwa uckate tamaa ungali hai mimi nilishalala kwa balozi na cjapata had leo
  9. Y

    Natafuta mchumba.!b-)

    mchumba umepata kijana ntakutafta fce bk ila uwe tayari kuninunulia kisiwa chenye nyumba nzuri security guards wakutosha wafanya kazi wa ndani na wanje nyanya wakumlea mtoto 2takae mpata insurance nzuri za matibau na maisha, kagari cmple kaktembelea na hela ya kutosha shopping zangu za kawaida...
  10. Y

    Utapeli utapeli utapeli!!!!!!

    utapeli umeingia had erolink wanapga cm za kulazimisha elfu 20 inakera sasa
Back
Top Bottom