Kikwete akataa tena IGP Mwema,Jack Zoka & wenzao kustaafu

Kwa Mujibu Wa Habari Za Uhakika Zilizoripotiwa Kutoka Magogoni (state House) 'Big Boss' Kwa Mara Nyingine Amekataa Katakata Team Yake Ya Ulinzi Na Usalama Isi-staafu Na Ameagiza Wapewe Mikata Mipya Walau Hadi 2015 Baada Ya Uchaguzi Mkuu.. Wote Tunakumbu Igp Mwema, Kova, Mangu, Kanyala Ilikuwa Wastaafu June Mwaka Huu Lakn Kwa Sababu Zisizofahamika Walipewa Mikataba Ya Miezi Sita Hadi Dec 31 Mwaka Huu... Ajabu Watu Wakiwa Bado Wanaulizia Mikataba Hiyo Sasa Wameongezwa Mikataba Mipya Tena Mirefu Ya Hadi 2015..! Katika Kundi Hili Wako Akina Mwema, Zoka, Kova, Kanyala, Mangu Na Wengne Wengi... My Take Hivi 'Big Boss' Katika Idara Hizi Kawaona Hao Tuu...? Mbona Kuna Watumishi Wengi Wanaoweza Kuchukua Nafasi Zao Kuna Nini Mpaka Awang'ang'anie Hawa Watu....???
Tengenezeni katiba bhana acheni kulia na miti wewe umempa mtu uwezo wa kuojiongezea msosi kama hajashiba akiongeza unalialia ndio nini hiyo sasa
 
Ule ni usanii tu kwani anafanya vile kudanganya watanzana kuwa hawa watu wanajuwa kazi kumbe hakuna. Ki ukweli ni kwamba hawa watu ndiyo wanaolinda wauza unga wakubwa hapa nchini na hata yeye Kikwete anajuwa hivyo. Kule kuomba kutaafu ni propaganda tu au tuite danganya toto.

exactly, yaani kuomba kustaafu wanazuga tu waonekane hawana uroho wa madaraka kumbe chenga tupu!!!
 
Back
Top Bottom