Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

Status
Not open for further replies.
mnaulizana makabila, mnataka kutambika? - nyerere
Kwani hupendi wengine watambike?Mbona mna ngoma za makabila ktk sherehe za kitaifa. wakijisagau mtaungaunga vipi tamaduni za mwafrica mzisemazo?Kule kwa waganaga mtakwenda vipi km hao waganga hawafanyii matambiko?
 
NIlikuwa kule Kili.nimefurahi sana wachaga wanaulizana maswali kwa atitude za watu wanazokutana nazo hadi mkoani kwao..Tena mkoani kwao ndipo pameletwa wajingwa wa ukabila ili waendeleze hizo chuki.Wengi wameshang`amua kuwa CCM ndio sera yao...

Wanjiuliza inakuweje mawaziri kimeo wa kiswahili pamoja na wizi,uzembe na mengine bado hawana mashitaka na bado wanasafishwa..halafu wachaga hata wasio wanasiasa, usumbufu wa CCM umezidi, ubaguzi na chuki za wazi haujawahi kuwa hivyo hata enzi ya Mkoloni.
 
Kwa dsm,wakinga wanakimbiza mwendo wa mbwa sasa,hilo mnajua vizuri,,kanda ya ziwa wakurya wamewapiga chini vibaya mnooo,,,,kusini wanyakyusa na wakinga,,imebakia kanda yenu tu ya kaskazini,,hapa naongelea influential bussinessmen n women sio wauza viosks,,,
 
Kwa dsm,wakinga wanakimbiza mwendo wa mbwa sasa,hilo mnajua vizuri,,kanda ya ziwa wakurya wamewapiga chini vibaya mnooo,,,,kusini wanyakyusa na wakinga,,imebakia kanda yenu tu ya kaskazini,,hapa naongelea influential bussinessmen n women sio wauza viosks,,,

Mika yote ipo hivyo ila shift kidogo ya maisha, mtikisiko huo huacha survivors wengi wa Kikristu...kuna mengi sana ktk flexiblity na efficiency ktk business, utajua kwanini watu wengine wanaweza kuwan nguvu sana,ila utawala wa nchi ukibadilika wanapotea, wengine biashara fulani ikifa basi hata bishara zao zote hufa kwa vile biashara hiyo ndio ilikuwa ikibeba nyingine ambazo alikuwa ni hasara au zikifanywa kwa kuficha na biashra ingine.Nadhani utaona makampuni makubwa ya mabasi yalikuwa si ya wachaga,ila shift of time wachaga wanabaki ktk sector hiyo.Ngalia mahoteli, hadi makampuni ya waarabu, wahindi, wswahili wengine...wengine biashara ya unga ikibanwa sana basi nao hupotea, wengine wanasiasa wakitoa hela jamaa nao huanguka yaani hawakubaki hata na na kiasi walichozalisha kwa wingi...

Nani aliilaani Bagamoyo, tabora, tanga,Ujiji etc kuwa magofu.....sasa ndio wanaanza ona mwanga baada ya dunia nyingine kuingia.
 
Hebu fungua uzi ulize ni wangapi wametapeliwa na wachaga ndio utapata jibu

haha.........sometimes inashawishi...kuna makabila mengine ukisema usiwaibie hawajali kuibiwa na miwngine.Na ukimwacha mwingine awaibie ni kujinyima nguvu ya ushindani.Ndipo dunia inaelekea....na ndicho mchin anapiga bao mataifa mengine ambayo yapo busy kudai haki za binadamu,kwa binadamu wasiotaka haki zao au hata kupeana haki km za nchi za akina JK.

Ukienda kwa makabila mavivu yanataka uwape hela ya fasta wakuuzie mazao wakacheze ngoma .Halafu miezi mitatu tuu, wanakuja nunu bei ya juu hadi inawashindwa , inabidi uwaauzie kw apish ndogo ndogo..sasa ukiacha wengine wanafanya na kupata fedha za kupanua bishsra zao...

Ni ngumu ila inashawishi...
 
Duh...200m kil amwaka watoto wakwende Shule..hii ni historia Mengi..sijui km angekuwa bakhresa CCM wake shangilia miezi mingapi...?
 
Hata Mwalim JKN alihusika Wachagga wapige marktime ili wengine wawakute ila janja ya Wachagga ikawa ni kuhama Kili na kubadilisha majini kumpumbaza mwalim. Au hapo sio uonevu wa ukabila Chagga
 
Kusema kweli mie mke wangu ni mchaga na mie msambaa, namshukuru sana huyu mama kwani hata ndugu zangu waliosikia ushauri wake wote 'wametoka' kila saa yeye anawaza pesa na story zake ni pesa tu mwanzoni nilipata shida sana kuwa nae baadae nilimuelewa na tumesonga mbele haswaaaa!

Tusiwaonee wivu wa ubaya bali wivu wa maendeleo na tuige mazuri yao na tufanye kazi kwa bidii ndugu zangu, hawa jamaa hadi wahindi wanawakubali ni vichwa ktk biashara! Angalia K'koo ni wachaga wamejaa na ni matajiri wa kufa mtu!
 
Nawachukia sana watu wanaopandikiza mbegu mbaya ya ubaguzi kwa kivuli cha siasa kama huyu Nicholas. Ni wa kuogopwa kama ukoma. "dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu ukiianza huwezi kuiacha" Mwalimu Nyerere.
Hapa anachojaribu kushabihisha huyu Nicholas ni kutokana na kabila lao kutotoa rais... jamani mbona tunao na wamewahi kuwepo mawaziri na manaibu waziri wengi wachaga? achilia mbali wakuu wa idara na taasisi mbalimbali nyeti nchini.
Tanzania ni moja na ina makabila zaid ya 120 hivi kila kabila likilalamika kwa staili hii hayatatukuta ya rwanda o kenya?
shortly hakuna anaeachukia wachaga na hakuna anayeweka mikakati wala sera ya chama cha siasa kuwateza nguvu wachaga.
phobia kama hizi ndizo znazowafanya baadhi yao kukosa amani hata maeneo ya kazi na kujikuta akihitaji mtu wa kabila lake ili awe comfortable.
Ni mawazo mabovu yanayopaswa kuchukiwa na kukemewa na kila mtanzania anayeitakia mema nchi yake.
 
Mengi angekuwa mwarabu sijui km hata angepigiwa kelele..Tazama MAnji ananunua mali ya kila taasisi apendayo na hakuna wa kusema
 
umesahau kipato chao kikubwa kinatokana na UJAMBAZI??? Tatizo letu watanzania tunapenda kusifia matokeo kuliko kuangalia chanzo. No wonder hata wazungu wa unga tunawajua na kuwanyenyekea kutokana na fedha zao huku tukilalamika uteja wa watoto wetu. Ni kweli na ni dhahiri kabisa, sifa zote za kishenzi( ujambazi,ufisadi,upendeleo,ukabila, dhulma na kupenda madaraka kulikopitiliza) ni sifa za hawa watu. Nawapa tano WANGONI, they are the best in this

Kusema kwamba kipato kikubwa cha wachaga kinatokana na ujambazi ni kujumuisha kunakotokana na tatizo lako la wivu tu. Majumuisho ya namna hii yamepitwa na wakati. Mtukio ya ujambazi yalifanywa na wachaga wachache tu, na si wachaga wote. Mtukio ya ujambazi yalifanywa pia na makabila mengine na yanafanywa pia namakabila mengine mpaka dakika hii. Ukiangalia tamaduni za wachaga zimetofautiana na tamaduni za makabila mengi. Tamaduni hizo ndizo zinazowapa nafasi ya juu katika mambo mengi. Pia walibahatika kusoma mapema na kuwa na zao la kahawa lililowaingizia kipato kikubwa miaka ya nyuma.
Wivu pekeyake na kuwasema vibaya hautasaidia chochote zaidi ya kuleta chuki ambayo haitamfaidisha yeyote. Na historia iaonesha ukipinga ukweli wewe ndio utapoteza.
 
Watu wanamfanya Mungu mjinga bila kujua kila kabila Mungu amelipa nafasi yake katika jamii.Mbona Hamna MTU anayemkosoa mmakonde na vinyago vyake.Mmasai naye ni mfugaji msukuma naye na pamba zake.Nasema neno gumu kidogo sio kila kabila kupewa uongozi ni vyema kuangalia alikotoka pameendelea?Tatizo letu tunaangalia wanaojua kuongea na sio watendaji.:)
 
Kwa dsm,wakinga wanakimbiza mwendo wa mbwa sasa,hilo mnajua vizuri,,kanda ya ziwa wakurya wamewapiga chini vibaya mnooo,,,,kusini wanyakyusa na wakinga,,imebakia kanda yenu tu ya kaskazini,,hapa naongelea influential bussinessmen n women sio wauza viosks,,,

uko sawa mkuu
 
Tuacheni wachaga jmn mbona hatuombi vya watu twala jasho letu kinawauma nn mti wenye matunda mazuri hupigwa mawe cshangai sana wachaga kuandamwa na kila anaejickia kusema juu ya mchaga,
 
Huwa naona haya hata kwa wahaya ikitokea tu ukasimama mbele za watu hawatakudifine othws ila ww ni mhaya ...mie nafikiri baadhi ya vitu ni mazoea tu japo kuna ishu chache zinazokuwa zinahitaji kweli kujibiwa

Mfano ni hii bajeti iliyopitishwa kuna wizara mbili ya maji baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro yalionekana kupewa pesa nyingi sana kuliko mikoa mingine na wakati tatizo la maji ni la kila mkoa na maji yanahitajika kote,sasa kweli hii haikueleweka kabisa hata mie sikubaliani nalo kabisa

Jambo la pili ni mfano wa bajeti ya elimu mwanzo ilionekana kuna shule 104 mkoa huo zinatakiwa kukarabatiwa ilohali mikoa mingine imepewa shule hazifiki hata 50,katika hili wabunge waliongea sana mpaka wakatoa maneno makali juu ya upendeleo wa hivyo hadi waziri alipokubali kwenda kurekebisha upya mgawanyo kwa kuzingatia usawa wa mikoa,sasa sijuhi ni kwa bahati mbaya ama ni planned?


Kwa mambo kama haya ndo yanayofanya labda watu waongee mambo mengi na katika ukweli ndugu zetu kwa haya mnatakiwa kupunguza upendeleo wa wazi hvyo ili muweze kueleweka katika jamii yetu ya kitanzania ambayo haichelewi kuwaona vinginevyo
Kama kuna shule nyingi kilimanjaro ni sawa shule nyingi kukarabatiwa kilimanjaro. Shule hizo si wanasoma watanzania toka sehemu zote?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom