Recent content by Yellescabar

  1. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania KERO Tanesco Mkoa wa Kinondoni Kusini- Kimara/Kibamba

    Wanazingua mno yan wanakata lisaa wanarudisha..kisha wanakata tena mchezo ni huo huo siku nzima
  2. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Nakutana na treni ya umeme ikiwa tupu/ haina abiria

    Royal clasa ndo inayowahi kujaa kuliko hata hiyo economy ambayo wewe unaita 3rd
  3. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Nakutana na treni ya umeme ikiwa tupu/ haina abiria

    Acha uongo mzee
  4. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Unakula tu asali NAOT
  5. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Nyaya za TTCL Dar es Salaam ni uchafuzi wa mazingira. Mamlaka zifanye jambo

    Uchafu inabd ziwe organized
  6. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

    Zilipe izo gharama
  7. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    300*300
  8. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

    Alooh Makonda huu uzi inaonekana wengi mna chuki nae
  9. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nakubali sana wanangu
  10. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Course ya Bachelor of Business Administration Kwa aliyesoma HGL

    Marketing serikalini haina soko
  11. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yani bora PSRS wangeendelea na mchakato wa ajira za TRA tuu ingekua vyema zaidi
  12. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

    Piga mishe zako achana na shule
  13. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nakushauri ubebe na barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa iyo ndo muhimu zaidi mana kuna mtu ashawah kwenda na leseni tu bila kitu kingine chchte hakufanya mtihani
  14. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania TRC salary scale

    Kama unalipwa trcs1 means elimu yako ni ndogo sasa mtu unataka ulipwe vipi wakati elimu iko chini
  15. Yellescabar

    JamiiForums Tanzania TRC salary scale

    Nani kasema mshahara mzuri?
Back
Top Bottom