Recent content by Yawe

  1. Yawe

    CHADEMA kwa ujumla Newala inaiwashangaa sana,hata huyu ni fisadi na hafai pia!!

    Chadema ni Chama makini chenye malengo na matarajio ya kushika dola mwaka 2015, hakiwezi hata siku moja kufanya siasa za Ccm, Newala wapo makada wengi Wa chama wenye lengo la kubadilisha Newala na kuleta historia katika taifa zima la Tanzania, Kwa mantiki hii angalieni watu wasilete tafaruku Za...
  2. Yawe

    ANGALIENI UBAGUZI HUU Ndani ya CHADEMA

    Kama wewe unaonekana kama mmoja wa hao misukule, maana misukule hawawezi kuona na kutetea kwa macho yao
  3. Yawe

    Mikataba nchini Tanzania

    Wana JF Hivi mikataba ambayo serikali yetu Tanzania inasaini hivi wanaisoma kabla hawajaingia au wanasaini bila kusoma.
  4. Yawe

    Hivi kwa nini wabunge wako bungeni?

    Wana JF Naomba mnijuze maana nashindwa kupata jibu sahihi hivi Ni kwa nini tumewachagua wabunge kutuwakilisha bungeni endapo hata kile wanachopaswa kuwatetea waliowapeleka inakuwa ngumu? Hivi hoja Za maana mbona wanaruka viunzi hawataki kiwajibikia wananchi wao? Hata kitu chenye manufaa kwa...
  5. Yawe

    FULL TEXT: HOTUBA ya Kambi ya Upinzani iliyosomwa na Lissu, Katiba na Sheria, yaibua makubwa bungeni

    Mi nadhani WEWE akili zako Ni mbovu !!!!!! Full stop. Maana hata vitu vizuri unatoa ushuhuda WA kijinga mpaka unakatisha tamaa kama zimekamilika kichwani
  6. Yawe

    Siasa za majitaka CHADEMA tuziache

    Chakula chenu sio? Ndio maaaana unakitajataja?
  7. Yawe

    Lwakatare aizika rasmi M4C

    For his information. Is enough said
  8. Yawe

    Lwakatare aizika rasmi M4C

    WEWE umelaghaiwa mara ngapi eti mkuu maana unaonyesha wazi kabisa hutaki MABADILIKO una ulichoficha chumbani kwako au una ahadi?
  9. Yawe

    Lwakatare aizika rasmi M4C

    Sasa tulishakuwa Katika hali hiyo kwa mda mrefu sasa tumepoteza appetite
  10. Yawe

    Lwakatare aizika rasmi M4C

    Jibu Sahihi kwa waJF wasio na details Za nini kinaendelea
  11. Yawe

    Wakati swala la ugaidi halijaisha, wengine wakamatwa ndani ya gari la M4C

    Kuiba kuku miaka 5jela, bilioni Za tanzania mnawachekea Nyie Watanzania mmepatwa na mzimu gani
  12. Yawe

    John Mnyika: Pinda ni muongo

    Si wananchi wanamwita mtoto Wa mkulima imeishia wapi wadau?
  13. Yawe

    CHADEMA, Chama kilichozeeka kabla hakijafikia umri wa kuzeeka kisiasa

    Wewe hatuwezi kukusema sana maana mna tabia Za kujiuwa kule kwenu hatuwezi kutoa rambirambi kwa Kijana Kama wewe, eti kwanini amejiua??? Aaaaah walimsema JF ndio maana, subiri uZeeeke Kama hao wajomba zako kwenye picha uliyoiweka then unaweza kisemwa
  14. Yawe

    Wabunge wa CHADEMA wagawana dakika 5!

    Wala usijali dakika ngapi wanaongea si Ni Kama mbwa koko asiye na meno ubweka sana ila Wenur kung'ata hawabweki ovyo wakibweka ipo Jambo
  15. Yawe

    CHADEMA waifungulia CUF njia…

    Ni sawa na CCM wanavyosema CHADEMA kifikia mwaka 2015 kitakuwa kimekufa, si ni sawa tu na mawazo ya huyu bwana kwani tofauti iko wapi hapo
Back
Top Bottom