Recent content by Yato

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kupata salary slip kwa njia ya online

    Ngoja waje wakujibu
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Habari wana jamiiforum

    Kuna application au
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kutumbuliwa Dr. Mwele na kuhusishwa na Waziri Ummy

    Kwani Yeye ndo kwanza anaanza kazi? Kwani hakugundua ugonjwa na kueleza uwongo? Kama ugonjwa upo upo tu kwani taarifa kutuma WHO ndo utaondoa ugonjwa? Acheni kutufanya wa tz atujui kitu na wewe, Yeye alitoa majibu sahihi ya utafiti. Na si vinginevyo
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Vipi naweza ku-roote techno c9
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Game gani zuri la mpira kwenye smartphone

    Game hilo lipo kwenye play store
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    , naipataje
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    Tangazo la rangi : bwana Moses nimepata mpangaji atakae nilipa kodi ya nyumba yangu hivi lazima uondoke Aaaaa hapana mzee nimepaka nyumba hivi karibuni naiomba nikae mpaka itakapo haribika Aaaaa haiwezi kuwa taabu hiki ni kipindi cha joto alafu maska baade hii rangi lazima itaharibika...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya kwenye app

    I Naitwa je
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya kwenye app

    Mi naomba msaada wa kutoa Matangazo kwenye app niliyo install kwenye simu yangu natumia tecno c9 yaani mfano nimedownload AVG AntiVirus basi unakuta kunapicha za video wadada wanchezea simu zao wapo uchi basi napatwa na hasira Sana kwani simu yangu siwezi kumpa mtoto acheze game, naumia...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu App ya thl

    Hiyo App ya thl ipo kwenye Google.Play?
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Nimemzaba makofi binti wa jirani kwa tabia ya kuoga nje na kunisalimia 'mambo'

    Umevunja sheria kama vipi sepa tu
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anajamba jamba sana mpaka najiuliza kulikoni

    Kama unashindwa kuvumilia suala hilo je mkeo siku akaumwa na kuoza kiungo chake na kikawa kinatoa harafu mbaya si utaama nyumba na kuiacha Familia wewe!!!?
Back
Top Bottom