Sasa ndugu na wewe unashida inamana utajifungia ndani na tatizo ambalo hujui suluhu yake?tatizo usilo lijua suluhu huwa ni kulificha na kutolisema eti kisa ni la ndan ya ndoa hata kama lina umiza?unaweka siri kwa jambo ambalo unahitaji kupata ufumbuzi! Sasa huo ufumbuzi utaoteshwa ndotoni bila kushirikisha jamii ili ikupe uzoefu? Watu wengi wamesaidiwa hapa kwa kuwa wawazi juu ya yale yanayo watatiza .We utakuwa mvulana bado siri za ndani unaziweka hadharani,shame on u
Nina mwaka wa nne sasa kwenye ndoa yangu. Mimi na mke watu tuna watoto wawili, ila kuna jambo ambalo ashakum si matusi limekuwa likinipa kero sana na kuwa na maswali mengi. Mke wangu anapenda kujamba, jamani acheni kabisa, yaani anajamba kwa nguvu zote na kwa kujisikia raha sana, nimejaribu kumwambia kuwa hiyo hali inanipa kero lakini wala haelewi.
Na jambo hili halitegemei kala nini awe amekunywa mchemsho au chips atajamba.awe amekula maharagwe au kunde atajamba. Awe amekula wali samaki atajamba, si mchana si usiku, ye muda wote ni hali hiyo, nimejaribu kuangalia sehemu yake ya haja kubwa kama pengine inaweza kuwa wazi au sijapata uthibitisho wowote bado.
Lakini nachoshangaa ni kuwa anapotaka kufanya jambo hilo huwa kabisa anajiandaa na kubinua makalio yake huku akikenua meno kana kwamba anafanya jambo la busara, raha na la kustahili sifa, yaani ana enjoy sana hilo jambo, lakini starehe yake kwa wengine ni kero. Nisaidieni ana tatizo gani au nimsaidie vipi asiwe anafanya jambo hilo, too much is harmful.
Akijamba mbele anakukaribisha umsugue anapojambia. Jaribu kumpa raha aitakayo.Nina mwaka wa nne sasa kwenye ndoa yangu. Mimi na mke watu tuna watoto wawili, ila kuna jambo ambalo ashakum si matusi limekuwa likinipa kero sana na kuwa na maswali mengi. Mke wangu anapenda kujamba, jamani acheni kabisa, yaani anajamba kwa nguvu zote na kwa kujisikia raha sana, nimejaribu kumwambia kuwa hiyo hali inanipa kero lakini wala haelewi.