Msaada kuhusu kupata salary slip kwa njia ya online

NDULUMESO

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
243
177
Naomba mwenye kujua link ya kujisajili na kuweza kupata salary slip yako online anijuze. Nliwahi kusikia kuwa kuna link ya kujisajili, msaada tafadhari
 
Ingia Web ya utumishi alafu ukishakunguka tafuta neno limeendikwa utumishi portal ndio utajisajili lakin shiliti uwe na email na chek namba
 
Back
Top Bottom