Recent content by yatima wa kitanzania

  1. yatima wa kitanzania

    Msichana atayeniomba anitoe out kwa gharama zake, hata kama ni 5,000, namchumbia jioni hiyo hiyo

    Ndugu wasichana wanatoa oat sana ninamna ulivyo mjenga kwani vijana wa kiume mnapenda kujionyesha mna pesa lakini ukimje kuwa kunawati na wewe unaweza kukosa mbona utaalikwa oat nyingi .
  2. yatima wa kitanzania

    Kwa mara ya kwanza ninakwenda kuipigia kura CCM 2020

    Kwa sasa nchi imesimama mnapongeza nini
  3. yatima wa kitanzania

    Mliokuwa mnasema "tatizo siyo mtu, tatizo ni mfumo" mnasemaje sasa?

    Watanzania awajawai kulilia 5000 za watendaji wanalili, TWIGA KUPANDA NDEGE, TEMBO WAO KUMALIZIKIA CHINA, mikataba ya Rugumi , bilioni 60 za polis walizopiga kwa wiki 1 had I Leo amna hata kishikizo, wa Tanzania wanataka elimu bule dawa hospital vimewashinda , tegeta escurow imewashinda...
  4. yatima wa kitanzania

    IRINGA: Askari aliyemuua mwanahabari Daudi Mwangosi afungwa miaka 15 Jela

    Hukunu ya kiini nacho wanaweza kufanya kitu dunia ikashangaa kwani Tanzania mahakama aina meno wewe jiulize mwenendo wa hiyo kesi , mmefika kupanga hukumu usijue azabu ya kumpa?
  5. yatima wa kitanzania

    J. Makamba kukatwa na Magufuli 2025 kama Lowassa alivyokatwa na J. Kikwete 2015

    Kwa mwendo wa magufuli ukiwa wa namna hii 2020 akatishi nani aoni Tanzania imesinana pamoja nakujinasibu mambo mengi
  6. yatima wa kitanzania

    NEC imeteua Wabunge 3 Viti maalum, CCM 2 na CHADEMA 1

    Ongera dada yangu Owenya kwani niliona pengo lako mjengoni kakutane na Estar matiku, E.bulaya,H.mdee D.minja nawengine wengi kitaeleweka
  7. yatima wa kitanzania

    Ofisi ya DPP yatuhumiwa kupokea 30m/- kuzima kesi ya mauaji ya mwanafunzi

    Unaweza mkweli kwani vyombo vyetu hivi vipo kibiashara sio kusimamia haki ya kweli
  8. yatima wa kitanzania

    Uteuzi wa Raia wa Uganda kuongoza NSSF: Ombeni Sefue, Eric Shitindi & Jenista Mhagama wajiuzulu

    Wameanzisha figisu sasa kwenye kwenye mifuko yetu wanampango kumtumia huyo mganda kificha madeni ya ccm waliochota na kufanyia kampeini hilo nijipu NSSF imeyumba kwa sababu uchotwaji wa pesa nyingi wakimtumia Magori leo wamegundua ccm kwao hilo ni jipu wanamuwai Rais magufuli, kuweka...
Back
Top Bottom