Recent content by YATC

  1. Y

    Fitness and wellness

    Shukrani mkuu!
  2. Y

    Fitness and wellness

    Nimeanza zoezi ila nakumbana na changamoto zifuatazo mfano nikitaka kupiga "push up" mikono inatetemeka sana au nikisema nibebe chuma mikono inatetemeka sanaa hii ni nn wakuu au ndio kuto kuzoea!?
  3. Y

    KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

    Safari za nje si zimekatazwa jamani
  4. Y

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hii game inaruka station gani guys!?!?
  5. Y

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    mi nafikiri jwa sababu Flanno ni homeboy ndio mana wanampigia kelele sana
  6. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Siku izi wamekuja mpaaka mtaani kima cha chini 1,000 ya kitanzania
  7. Y

    Profesa Baregu: Tusimsingizie Nyerere kuhamia Dodoma, tutafute sababu za sasa

    Kunywa bia mbili hapo ulipo!! ...hauko biased kabisa katika mchango wako
  8. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Napata ugumu kuona fixture za mbele Meridianbet natumia simu msaada tafadhali mwenye ufahamu
  9. Y

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hiii game yetu na Barca inaoneshwa Kituo gani cha Television hapa nyumbani Tz!?
  10. Y

    Tetesi: Hii inawezekana? Iphone 7 kuja na Dual Sim

    Sio siri katika iphone zote dah am inlove with 5s kwakweli..yani great size
  11. Y

    Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

    Mbatia ameibua mambo mengi sana kitaifa amefumbua macho watanzania wengi sana katika hio miaka 25,saada aliotoa juu ya elimu na kuweka mawazo chanya, kufuta ujinga katika vichwa vya Watanzania inatosha kabisa kusema amefanikiwa unlike huyo aliewekwa na kutumika kimaslahi
  12. Y

    Serena Hotel na Ubaguzi wa Rangi!, Kwa Mzungu It is OK, Kwa Mswahili Hapana!

    Nikuongeze ufahamu juu ya utalii mtalii sio lazima awe mzungu hata wewe unaweza kua mtalii kitaalam wanaita utalii wa ndani, kwa mfano mzungu akienda Serengeti na Bwana Pasco akienda serengeti wote ni watalii mmoja katoka nje mwingine ndani Nafikiri umenielewa
  13. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naupiga 1+1 naupiga pia 2-4 Ntakua mbali na muhindi!??
Back
Top Bottom