Recent content by Yasseer

  1. Y

    JamiiForums Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

    sasa jiulize sababu nini? unazalisha magazeti unauza kidogo na kodi kubwa sijui kama utakubali hata wewe unaweza kukimbia na huyo dangote akimbie tu bila ya sababu maalumu?
  2. Y

    JamiiForums Tanzania imejiondoa rasmi kwenye kipengele cha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) kinachoruhusu watu binafsi kuishtaki Serikali

    sawa ila ukweli utabaki tu tanzania ni nchi isiyohishimu haki za binadamu
  3. Y

    JamiiForums Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA

    wewe fala kwanza uwelewe hawajaiba na ss ni waelewa sana, iko hivi wamenunua bando mfano kutoka voda baadae wakalirusha kwa watumiaji wengine bila kibali sasa jiulize serikali wanapata hasara vipi wakati bando lile nishapata uhalali kutoka kwa voda? magufuli mitano teno
  4. Y

    JamiiForums Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi anatangaza Baraza jipya la Mawaziri. Hakuna Manaibu Waziri

    kweli iwe nchi moja maana ake wazanzibar wa ccm ndio wenye nchi sisi wengine ndio wengi ila hatuna akili....ila wakati utasema
  5. Y

    JamiiForums GE2020 Membe afurahishwa na uteuzi wa Wagombea Ubunge wa CCM, awakaribisha ACT-Wazalendo wale waliokatwa

    Mm najiunga ACT kutokea ccm kutokana nimekatwa
  6. Y

    JamiiForums TCRA yatoa siku saba watoa huduma kuomba kibali matangazo vituo vya nje, vyatakiwa kuwasilisha makubaliano baina yao

    Njia za kupata tarifaa ni nyingi mno kuliko munavyofikiri nyinyi. Angali waziri was habari alivyopigwa na chini jimboni kwake!!!!wajumbe sio watu wazuri hata kidogo.
  7. Y

    JamiiForums Maalim Seif achukua fomu ya Uenyekiti ACT-Wazalendo

    Soma kwa makin
  8. Y

    JamiiForums Maalim Seif achukua fomu ya Uenyekiti ACT-Wazalendo

    NI KIONGOZI WA CHAMA SI KIONGOZI MKUU WA CHAMA! Kama ilivyo kwa vyama vingine duniani vinavyofuata mfumo huu, Kiongozi wa Juu huitwa Kiongozi wa Chama (Party Leader) na si Kiongozi Mkuu Wa Chama (Supreme Party Leader) Kama ambavyo baadhi ya watu huita kimakosa. Dhana “Mkuu(Supreme)” huambatana...
  9. Y

    JamiiForums Maalim Seif achukua fomu ya Uenyekiti ACT-Wazalendo

    Nafasi zote zinapigiwa kura tofauti na chadema
Back
Top Bottom