Recent content by yasintha

  1. Y

    Tamko la familia iliyopata mkasa wa mauaji Ilala juzi

    Huyo jamaa alikuwa ni coward na chizi kama alikuwa na ugomvi na dem wake hakuwa na sababu ya kuuwa na wengine utadhani alikuwa analala nao wote.
  2. Y

    Wanawake nawaheshimu kwa hili jambo

    Jamani mimba kuibeba miezi 9 si mchezo namshukuru Mungu kwa afya njema baba mtoto wangu,familia yangu na yake kwa support mpk kipindi hiki ninachotarajia kupata mtt. Big up kwa wamama waliolea mimba peke yao bila support ya baba watoto cjui ht wamewezaje kwa kweli.
  3. Y

    Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

    Wanaume wenyewe malioo kibao wengine wameoa kumbe nyuma ya panzia mashoga,wakipata wanawake wenye kipato wanakua nae kwa c kwamapenz bali apate tu pesa bila kujali hisia za mwanamke na still wanatudharau eti tunajiuza, kama unaona hatuna mapenzi ya kweli acha kujishughulisha na mapenzi.
  4. Y

    Yamenikuta mwenzenu!!

    Itakuwa kweli kapewa angekuwa anakucheat ht cm usingegusa inatakiwa umuamini vitu vidogo tena alivyokuja navyo home haviwez kuwa sbb ya kumfikiria vby.
  5. Y

    Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Km hakuweza kukuvumilia kidogo tu ulivyoenda kusoma sijui kama hiyo ndoa ataiweza tatizo tamaa zimezidi mpk kaingilia kwenye ndoa za wengine, haya km unamapenzi ya kihindi mfichie aibu yake.
  6. Y

    Umri gani ni sahihi kumtenganisha mtoto na chumba cha wazazi?

    Hahahaha umenikumbusha mdada mmoja alimwambia mwanae akalale mtoto akajibu ahaaa mnataka nikalale muanze uchafu wenu eeh, ss mtt wa miaka 5 kajuaje km huo ni uchafu au lah, akianza tu kuongea ahamishwe lah sivyo majanga.
  7. Y

    Majina ya Wanawake wa JF

    Hahahaha mbavu zangu mie
  8. Y

    Do you feel LOVED?

    Hapana Ayanda niliachana nae long time kabla hata sijapata mchumba baada ya kuona si mtu sahihi kwangu na alitaka turudiane kabla hata sijampata nilie nae na kwa wakati huo sikuwa nimewaza kuhusu ndoa maana nilikuwa bado binti mdogo now nimekua vya kutosha kuwa na familia yangu thats why...
  9. Y

    Do you feel LOVED?

    Umenikumbusha mbali sana mtoa mada. Niliwahi kuwa na mahusiano for 5yrs lkn sikuwah kutambulisha kwa ndugu zaidi ya friends wachache,simu nipige mm nikipigiwa basi siku hiyo anataka sex,kwake sijawahi kwenda mchana ni usiku tena kwa masaa machache maana inaweza kuchukua hata miezi mi3 kuchuniwa...
  10. Y

    Mwanaume gani unampa mimba msichana halafu unamkana na mtoto wako!

    Ushetani tu umewajaa km unaona maisha magumu unamwaga shahawa za nn? Akikuomba mtumie condom hutaki mimba ikiingia unadai mko wengi mwanzo haukumuona km anaowengi na wala hukuwaza ukimwi. Kabla haujamfata dada wa watu jipange kwanza mwanaume hakimbii majukumu.
  11. Y

    mchumbawangu kanikimbia kisa napenda kumgegeda mara kwa mara

    khaa ht ningekuwa mm ningekimbia maana hata wanyama wanapumzika ulishamfanya mwenzako sexy machine halafu unaona sifa kwa style hiyo usipopata madhara basi iko siku utafia kifuani
  12. Y

    Mume wangu anawashwa sehemu zake za siri

    Mficha maradhi kifo humuumbua kinacho mfanya aone aibu ni nn wkt hospitali ziko kwa ajili yetu ningekuwa mimi hata nanihii nisingempa mpk twende hsptl kujua tatizo, kama mwanamke najua utakuwa unauwezo wa kutumia mbinu zote kumfanya aende maana ugonjwa utakuwa sugu la sivyo atakuwa haumwi...
  13. Y

    kama una fedha ni bora kuoa mzungu..nyeusi haina hadhi?

    maendeleo ni juhudi zako binafsi wewe ukiwa na hela oa huyo mzungu halafu ukifanya mistake mkaachana jiandae na kulipa fidia kibao muulize Tiger Woods maana angekuwa rangi nyeusi angemsamehe tu mumewe
  14. Y

    Mambo ya kutafakari kabla ya kuoana

    Mtoa mada umenigusa maana kama me napendana sana na mchumba wangu na nimekubali kubadili dini japo dini yenyewe sidhani kama nitaifata nikishaolewa maana itakuwa ngumu sana but hopes tutaishi vizuri ilimradi tuna hofu ya Mungu.
  15. Y

    Naombeni ushauri!

    i wish ingekuwa rahisi km unavyofikiria km kuacha kuwa na uhusiano ingekuwa rahisi usingerudia kutafuta wapili na watatu after kutendwa na wakwanza so hayo ni machungu tu yataisha ukipata wa nne cha msingi jiulize kwanini unatendwa usikute unakasoro zako ambazo wanashindwa kukuvumilia.
Back
Top Bottom