Mwanaume gani unampa mimba msichana halafu unamkana na mtoto wako!

Kwenye bold ndio la msingi, hayo mengine yote ni manung'uniko ya dada yako kupewa mimba na kukimbiwa. Jambo hili ni pana huwezi kulirusha kwa mwanaume just like that. Kuna virukanjia vinagawa mwili kama mbwa wa mtaani, halafu mwisho wa siku vinamchagua mgawiwaji mmoja na kumwambia 'mimba yako', akili kama zako zinaishia kulea watoto wa wenzako.

Tulizeni maumbile yenu ndani ya nguo, zinaa kama wanyama pori ndio inaleta yote hayo

Kwenye hizo bold panahusika, Wanyama hawafanyi zinaa kama binadamu. Wanyama wana staha wanafanya ngono kwa nia ya kuzaa tuu ili waendelee ku-exist. Usilinganishe Binadamu wachafu na wanyama tafadhari.

Swali ulisha ona mbwa, au nguruwe au ng'ombe au simba anagegedwa kama hayuko tayari kuzaa??
 
Tena naomba niwakumbushe wale waliocha watoto wao kule mzumbe morogoro wakafwate watoto wao, unajiskiaje mwanao anaitwa BAF, LAW, etc?!!!! yani wanachuo na usomi wao lakini wanaongoza kwa kuacha watoto vijiji vinavyozunguka chuo na wameshawasahau kabisa.
 
ahahahha!watoto wanaitwa ,Dst,Lt1,qms100 etc
 
hahaaa, tracy umeona ee,kweli kaka zetu walikuwa wanatutia aibu kwa hilo na hawawakumbuki tena wamezagaa kule changarawe halafu dady zao wako huku mjini wamewasahau kabisa jamani.
 
Hi,

Huwa nawashangaa sana wanaume wanaowapa wanawake mimba halafu wanamkana hadi na mtoto.Na hapa ndiyo najiuliza siyo wote wenye jinsia ya kiume ni wanaume.Kama hukumpenda mdada kwa dhati bali ulimtamani basi kwa nini usimlee mwanao?Unaacha mwanao analelewa na wasamaria wema halafu baada ya kupata mafanikio na wewe unajitokeza kama mzazi!Shame on you!

Siku zote wale wanaowakana watoto wao huwa hawafanikiwi kimaisha fanya utafiti utakubaliana nami.Hii inatokana na laana inayotokana na manung'uniko ya kutoka kwa mtoto.

Wanaume hebu tubadilikeni kama ulifanya kosa rudi kaombe msamaha na mlee mwanao na nyinyi dada zangu msikubali kugawa K zenu kabla hamjaolewa, huwa nikiona watoto wa mitaani moyo unaniuma sana kwani kutelekeza mimba nako huchangia tatizo hili.

Hapa hamna wa kumpa lawama mwenzie maana wote wana makosa. Wanawake ni vyema wawe makini kwenye mahusiano yenu kwa kuwa ninyi ndiyo manyoijua miili yenu, lini ni siku ya hatari na lini siyo ili kuepuka mimba zisizotarajiwa. Na wale wenye kamchezo ka kategesha mimba ili kuharikisha ndoa, huo mchezo haufai maana mara nyingi huishia mtu kukataa kulea huyo mwanamke na mtoto pia. Ikumbukwe pia, mtoto ni makubaliano ya pande mbili na maandalizi kabla ya kuzaa ni muhimu kuzingatiwa.

Kwa upande wetu akina baba, yatupasa tuwe na huruma kwa wenzetu. Kama mtu ulimpenda kwa dhati kabisa na ukaamua kujirusha naye bila hata kinga, inakuwaje leo hii anapata mimba unamkataa? Ni vyema kuikubali hali halisi, kama umempa mimba mtu na huna uhakika ni vyema kwenda kufanya DNA test baada ya huyo mtoto kuzaliwa na siyo kumkataa na kumtelekeza mwenzio, suala hili ni kukosa uungwana kwa mtoto wako na huyo mwanadada pia. Tujipende na kuwapenda wenzetu.
 
Mimi huwa natamani kama kila ninayekutana naye nimpe mimba...!!!
:nod:
 
kuna vitu vingi sana hapo we dada unaongozwa na hisia
acha kwanza hisia ndyo unaweza sikia watu wanafunguka
binafsi mimi ni mmoja wa hao wakaka ingawa yangu haijafanana
moja kwa moja na hyo ya kuwakataa watoto. me namtambua
na familia yangu inamtambua tatizo huyo mama too demanding
anataka mtoto alelewe kama ridhwan. haiwezekani.
 
MKUU wengine wanaogopa kulea mimba za masela wengine. Mademu wetu siku hizi hawajatulia. Mnapiga masela wawili wawili daily, nani akubali kulea hapo?
 
Hi,

Huwa nawashangaa sana wanaume wanaowapa wanawake mimba halafu wanamkana hadi na mtoto.Na hapa ndiyo najiuliza siyo wote wenye jinsia ya kiume ni wanaume.Kama hukumpenda mdada kwa dhati bali ulimtamani basi kwa nini usimlee mwanao?Unaacha mwanao analelewa na wasamaria wema halafu baada ya kupata mafanikio na wewe unajitokeza kama mzazi!Shame on you!

Siku zote wale wanaowakana watoto wao huwa hawafanikiwi kimaisha fanya utafiti utakubaliana nami.Hii inatokana na laana inayotokana na manung'uniko ya kutoka kwa mtoto.

Wanaume hebu tubadilikeni kama ulifanya kosa rudi kaombe msamaha na mlee mwanao na nyinyi dada zangu msikubali kugawa K zenu kabla hamjaolewa, huwa nikiona watoto wa mitaani moyo unaniuma sana kwani kutelekeza mimba nako huchangia tatizo hili.

Melezo yako ni mazuri ila umeharibu hapo kwenye red......Yaelekea wewe si mtaalamu wa vitabu vya dini......Kama ni mkristo nenda kasome tena utagundua mtoto hawezi kumlaani mzazi wake. Hiyo laana inayompata mzazi baada ya kumtelekeza mtoto inatokana na hasira za Mungu na si manung'uniko ya mtoto.....Ukitaka tujadili kwa kina na vifungu vya maandiko (korani ama biblia) unaweza kuni PM au hata kwenda "live".
 
Ushetani tu umewajaa km unaona maisha magumu unamwaga shahawa za nn? Akikuomba mtumie condom hutaki mimba ikiingia unadai mko wengi mwanzo haukumuona km anaowengi na wala hukuwaza ukimwi. Kabla haujamfata dada wa watu jipange kwanza mwanaume hakimbii majukumu.
 
Huwezi kumlaumu huyo mwanaume labda tu kama wakati wakati mnafanya ile kazi mlikubaliana kuwa mnafanya kwa ajili ya kupata mtoto, kwa kesi hiyo tutamlaumu huyo mwanaume kwa kuvunja mkataba.

La mwanaume alikuwa kwenye burudani tu, na hana mpango wa mtoto, huyo mwanamke aliyejilengesha kizembe na kupata mimba wakati haujajiandaa kumlea huyo mtoto ndiye wakulaumiwa na sio mwanaume, unless tu huyo mwanamke ni under age au alibakwa.

Na mwanaume pia atakayejipeleka eti apewe msaada na mtoto ambaye hakukubali kumlea nae atakuwa ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine.
 
Nitonye nani analengesha.nyie hata mkiambiwa siku za hatari munang'ang'ania tu.kamsemo kenu eti kidog tu alafu unazamisha kila kitu humu ndani.hovyoo kabisa

Mfano wako huo unadhibitisha uzembe wa hao wanawake, kwa uzembe huu wakulaumiwa ni huyo mwanamke mwenyewe, huna hapo cha kumlaumu mwanaume huyo kwa lolote, kwani haikuwa kazi ya mwanaume huyo kufikiri kwa niaba ya mwanamke huyo.
 
Kwenye bold ndio la msingi, hayo mengine yote ni manung'uniko ya dada yako kupewa mimba na kukimbiwa. Jambo hili ni pana huwezi kulirusha kwa mwanaume just like that. Kuna virukanjia vinagawa mwili kama mbwa wa mtaani, halafu mwisho wa siku vinamchagua mgawiwaji mmoja na kumwambia 'mimba yako', akili kama zako zinaishia kulea watoto wa wenzako.

Tulizeni maumbile yenu ndani ya nguo, zinaa kama wanyama pori ndio inaleta yote hayo

Nani atulize eti? mwanamke au mwanamume?
Hii ya kutupiana lawama, sijui kama imeshaweza fanya kazi na kufanikiwa; saana inazifubaza dhamira zenu/zetu ambazo ziko ICU.
 
Hapa hamna wa kumpa lawama mwenzie maana wote wana makosa. Wanawake ni vyema wawe makini kwenye mahusiano yenu kwa kuwa ninyi ndiyo manyoijua miili yenu, lini ni siku ya hatari na lini siyo ili kuepuka mimba zisizotarajiwa. Na wale wenye kamchezo ka kategesha mimba ili kuharikisha ndoa, huo mchezo haufai maana mara nyingi huishia mtu kukataa kulea huyo mwanamke na mtoto pia. Ikumbukwe pia, mtoto ni makubaliano ya pande mbili na maandalizi kabla ya kuzaa ni muhimu kuzingatiwa.

Kwa upande wetu akina baba, yatupasa tuwe na huruma kwa wenzetu. Kama mtu ulimpenda kwa dhati kabisa na ukaamua kujirusha naye bila hata kinga, inakuwaje leo hii anapata mimba unamkataa? Ni vyema kuikubali hali halisi, kama umempa mimba mtu na huna uhakika ni vyema kwenda kufanya DNA test baada ya huyo mtoto kuzaliwa na siyo kumkataa na kumtelekeza mwenzio, suala hili ni kukosa uungwana kwa mtoto wako na huyo mwanadada pia. Tujipende na kuwapenda wenzetu.

WORD, aisome pia Mwana Mtoka Pabaya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom