Yamenikuta mwenzenu!!

Yamenikuta mwenzenu!!

nini mbaya??ofisini yetu tunapewa every month mimi ninazo munyingi ila situmii.Hamuna ubaya hapo
 
..Mbona kama mnamzingua mshkaji hivi..r u dr kweli...?!!

simzingui sasa yeye kama hajalidhishwa na jibu lake anategemea nini? Maana inaweza ikawa kweli au si kweli, ila ukweli wenyewe anaujua huyo mwanamke wake cha msingi yeye asimhoji sana amuache kwanza ila kama kuna kitu chini ya kapeti atajua tu!
 
Hayajakukuta wala nini. Enjoy life & forget about condom na wala usimuulize
 
mhhh..hivi wewe ni me au ke? Kama ni ke basi huyo ni..... manake kwa wapenzi wa jinsi zote wanapendelea zaidi condo za kiuume.. sasa kama ni dume alafu ana za kike! mmhhhh....sio riziki.... Jipe moyo pole sana
 
Itakuwa kweli kapewa angekuwa anakucheat ht cm usingegusa inatakiwa umuamini vitu vidogo tena alivyokuja navyo home haviwez kuwa sbb ya kumfikiria vby.
 
Naona hujamuelewa anachosema refer his thread umuelewe vyema
 
Itakuwa kweli kapewa angekuwa anakucheat ht cm usingegusa inatakiwa umuamini vitu vidogo tena alivyokuja navyo home haviwez kuwa sbb ya kumfikiria vby.
Ah wapi! huyo kaambiwa apokee hiyo simu ili akolezwe tu,huo ni mchongo wa kumpiga jamaa pesa,mwambie mtoa mada asikubali.
Nalog off
 
Hebu hesabu uone zmebaki ngapi? Ukiona zmepungua hata moja tu ujue tayari
 
Kama wewe ulishatumiaga nje kondom za kiume basi jua na yeye anatumiaga usimlaumu lakini kama hujawahi hata ck moja na yeye pia hajagegedwa usihofu mkuu
 
pole sana mkuu

relax na punguza presha.
chukua hii kama changamoto na uanze kumfuatilia bila yeye kujua ili upate uthibitisho.

ukikurupuka utaishia kumstress mpenzi wako, then ukute alilokwambia ndio ukweli. Tulia tafuta data, by the way hakuna marefu yasiyo na ncha.. ukweli utajulikana tu.
 
mbona amejielez vizuri kabisa me nimemuelewa

me nna kama wiki mbili hivi nilipita sehemu wakawa wanagawa nikachukua nimeweka ndani but huwa situmii kabisa haya madude, kilichonifanya nichukue nilioongoza nao walichukua na me nikaiga tu

so nakushauri usimfikirie tofauti

mimi mwenyew siku nikikuta wanagawa nitachukua ili tu nizifaham hizo condom za kike manake nazionaga tu kwenye picha!
 
usimlainishe mshikaji ukweli ni kwamba huyu mwanamke wake alimegwa kisela nje ndio kajisahau na kwenda nayo mpaka kijengoni,ila kama jamaa ni mume ----- basi anaweza kuendelea naye.
Nalog off
 
mimi mwenyew siku nikikuta wanagawa nitachukua ili tu nizifaham hizo condom za kike manake nazionaga tu kwenye picha!
kha! mumeo umeshamuonesha na mmeshazijaribu au bado?
Nalog off
 
The truth is right infront of you.
Wake up now coz she is,unfaithfull to you
 
mmhh! Ukiona manyoya-!

ujue kaliwa.
Ni ngumu kumeza ila jipe moyo.
Mimi siku nikipita kwenye promotion au matangazo yoyote au semina ambako wanagawa condom,kabla ya kuchukua nitampigia mpz wangu nimuambie nachukua condom ila hata nisikae kwa wasi2 wa kufikiriwa vibaya au kumpa mawazo mwenzangu.
 
Kumbe wewe huwa hutumii ukienda uko nje nimegundua leo tumekwisha
 
Back
Top Bottom