Recent content by yaseeryusra

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu binafsi siipendi hii tabia wakati wa kunyanduana au tuko wengi

    Miongoni mwa watu watakaopata adhabu kali sana mbele ya hukumu ya Mungu ni wale WAFANYAO DHAMBI KISHA WAKAITANGAZA (WAKAJIFAHARISHA) JUU YA DHAMBI WALIOITENDA BADALA YA KUJUTA NA KULETA TOBA KWA MUNGU . Mwenyezi Mungu anasema yeye ANASAMEHE DHAMBI ZOTE Nenda katubu brother wanawake zaidi ya...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Aliyelala kitandani Mbeya ajikuta ameamkia Masasi juu ya mti

    Pendael24 uchawi upo, hata maandiko yanathibitisha, mimi ni mwislamu kuna baadhi ya maandiko yanathibisha kuwa Mashetani huwashukia wanadam waovu zaidi na kuwapa maono , ingawa ni waongo, Mashetani huwasiliana na wanadam waovu kutimiza azma yao!! Ila mashetani hawa HAWAWAWEZI WANADAM WENYE...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania 25/12/2021 Christmas day: Fahamu Historia ya Christmas

    Kwani yesu ndo huyo huyo Mungu ?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

    Manara
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

    Kila mmoja akiitazama tanzania anashindwa kuielewa na watu wake pia, Hakuna tahadhari zozote na watu wanapiga kazi tu , Nafikiri mataifã makubwa wanashangaa sana wanapoitazama tanzania
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina tatizo la kutoa majimaji puani

    Kapime sukari ,pia ni dalili za awali sukari ina dalili nyingi sana, hii nilisikia kwa shemejiangu akakutwa na sukari. kama una kilo nyingi nakushauri jaribu kupunguza mwili na kula vyakula docta atakavyokushauri, Ila njia bora yakupunguza mwili nikuepuka kula vyakula vizito hasa nyakati za...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi wairaq wapoje kitabia?

    Ndoa haiangali kabila,sura wala rangi, Lau tungezingatia makabila tusingeoa Chamsingi fanya uchunguzi, fika kwao,au tuma mpelelezi akukusanyie data za huyo mwanamke na familia yake kwa ujumla kisha pitisha maamuzi
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi leo, kama umeajiriwa jifunze kitu hapa

    Wakati mwingine Mungu anaruhusu migogoro kutokea ili akupeleke sehemu nzuri zaid maana anakujua vizuri kuw Wewe ni msaada kwa wengi. Anakuandaa ukawe bora zaidi sehemu nyingine, usiruhusu mawazo ya kumlaumu Mungu , inuka utapata sehemu bora zaidi ya Hapo tena hadi utasema nilikuwa wapi kabla...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa mchezaji wa klabu ya Simba, Yahaya Akilimali afariki dunia

    Leo nipo Kigoma nilikuwa misele yangu maeneo ya Ujiji nkakuta mahali watu wamejaa, nkauliza kulikoni, ndio nkaambiwa Yahaya Akilimali kafariki dah dunia tunapita tu, Allah ampe kauli thabit
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania gereza la Arusha

    Allah awajaalie watoke salama kuungana nafamilia zao
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Mwenye kitabu cha IMPOSSIBLE IS POSSIBLE anitumie tafadhali, Natanguliza shukran
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

    Magara sio watata sana kama watu wa majengo, mara nyingi matukio hutokea majengo, wale wasangu na wanyeramba duuh wanaroho ngumu hatar
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

    Inasikitisha, alafu hapo magara haya matukio yanajirudia sana,sio mara moja
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Shukran kwa vitabu , HAKUNA MWENYE VYA KISWAHILI ??? AU HAKUNA VITABU VENYE vuzuri
Back
Top Bottom