Recent content by Seleina Tikili

  1. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

  2. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Siri ya kifo?

    Wengi watashindwa kabur inachimbwa mapem saiv na msiba ni kesho.kiukwel wanafamilia wameamua kumsakafia mpendw wao
  3. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Siri ya kifo?

    Saiv npo msiban wa msela wangu aliyetuacha.Na kesho ndoh tumepanga kumpunzisha. saiv nasikiliza tu huku parapanda.Huku tukiendelea na uchimbaji wa kaburi. Ila nnachoshindwa n kwa nn kabur zote huwangalia pande moja.maana tunayoichimba saiv...
  4. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

    Gen-z tunapita nao maana tuna mioto ya hatari ila hatuwaoi
  5. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

    mm najua wenye nyash niwakuchezea nakupita zangu kwa mda huu bado damu inachemka kwa fujo.ila ntakapooa navuta demu mwenye tabia nzur tutakayesaidiana kwenye utaftaji.
  6. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

    nyash plus
  7. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wenzangu.

    Jarib unawez pata mzuri.
  8. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wenzangu.

    Usisikilize ambao ndoa imewapiga chenga.watakushawishi usioe kwa kuwa ndoa ngumu na utateseka. kiukwel ndoa n nzur nainategemea na bahat unaweza pata mzuri au m baya. ila kiukwel tusiige kwa...
  9. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ni shujaa!

    Hakuna aliye dhaifu sote ni wenye nguvu na washindi.Wengi wanakukatisha tamaa kwenye safar yetu ya upambanaj. usitege sikio wala kuwasikiliza wapuzilie mbali maana ukiwasikiliza utajikuta umepoteza. umuweke mungu mbele kwenye kila ufanyalo.usikate tamaa maana ww n shujaa usiyeshindwa.
  10. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

    Vp huyu ba mjengo yupo kwanz maan post nying umetaja
  11. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Huyu mchaga ni level ya juu sana

    Mabiashara meng ni ya kwetu.
  12. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Nambona kwenye bibilia yakobo alimwoa binamu yake rebecca na ndoa yao ilibarikiwa
  13. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Uchagan hizo ndoa zimejaa kibao ila uhusiano kidam n mbal kidogo.
  14. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Ila ndoa baina ya wanaukoo nimeiona mkuu
  15. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Ila binamu upande wa baba hapo napaheshimu ila upande wa mama napita nao vibaya ila kuwaoa no
Back
Top Bottom