Siri ya kifo?

Siri ya kifo?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,909
Reaction score
3,726
Saiv npo msiban wa msela wangu aliyetuacha.Na kesho ndoh tumepanga kumpunzisha. saiv nasikiliza tu huku parapanda.Huku tukiendelea na uchimbaji wa kaburi.

Ila nnachoshindwa n kwa nn kabur zote huwangalia pande moja.maana tunayoichimba saiv inafatana na kabur nyingine.

Ama kunajambo mbaya itatokea maana sielewi.
 
Wengi watashindwa kabur inachimbwa mapem saiv na msiba ni kesho.kiukwel wanafamilia wameamua kumsakafia mpendw wao
 
"Death is the cosmic joke, you will lough when you see the other side"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom