Recent content by yany

  1. Y

    Pendekezo: Rais Kikwete mteue Dr. Slaa kuwa mwenyekiti wa Tume ya kutunga katiba

    sometime tunakosa cha kuzungumza kwanini usikae kimya??? mi nadhani aliyetoa hii thread amejaribu kuwaona watanzania kwa mtazamo wake anahisi slaa kuwa pale atarudisha imani kwa kiasi fulani ni wazo....tutumie hoja kubisha sio tuibishie hoja....dah i think we are great thinker right then let...
  2. Y

    Hongera CHADEMA, Tumekubali mmeshinda! Timizeni AHADI zenu!

    watanzania ni wavumilivu saaana maana kama miaka zaidi ya hamsini wameweza kuivumulia CCM, kweli wanastahili medali....... Kila siku kila mwaka wanakuja na pumba mpya, kenya ni jirani zetu ukisikia ushirikiano wao na ethiopia, south sudan utaona kweli wamechagua viongozi walioenda shule then...
  3. Y

    Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM

    hapa ndo Watanzania hua tunakosea yaani watu kuwa honesty ni ngumu huyu Sitta mara nyingine utasikia anapambana na ufisadi atasema hiki mara kile siku ingine utasikia vinginevyo hapa nakubaliana na usemi kuwa ni mnafiki....ata hivyo watanzania tuache maneno sasa tutekeleze kwa vitendo CDM...
  4. Y

    Breaking news: Super Najimunisa lawaka moto mchana huu!!!!!

    poleni watz mliopata matatizo hayo, bado tunawahitaji kwa mabadiliko ya nchi hii...Mungu awe nanyi!
  5. Y

    Highness:"CCM ilienda na Nyerere, iliyobaki ni Danguro tu"

    magamba ndo wanaotupeleka hapa tulipo tulikuwa tumefikia hatua ya kuwa kama wewe si tajiri mfanyabiashara mkubwa huwezikuwa mbunge hata siku na moja taratiiibu naona CDM mambo yanabadilika tunaona watu ndo wanatoka chuo na mambo yanakuwa poa...viva CDM viva...... naomba niseme kuwa tunahitaji...
  6. Y

    Nimetokea mahabusu kumuona Lema leo

    Your very strong Lema...kama wewe wapo wachache lakini Utafika tupo pamoja wanaharakati wa kweli..... Kuwa imara tupo pamoja!
  7. Y

    Maana ya Ushindi wa CCM Igunga kuelekea Chaguzi nyingine zijazo

    Sote tunajua kuwa uchaguzi una ghalama zake hasa ukizingatia mambo ya muhimu kama usafiri, posters, media, chakula n.k hivi vyote hua ghalama pale tunapokuwa tunazidisha na idadi ya watu watakaoghalamiwa katika mchakato mzima, hii ilinishangaza na kuona ghalama ni kubwa pale viongozi wa vyama wa...
  8. Y

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    siku zimepita kidogo kulikuwa na fukuto la Watanzania wanaoishi Marekani, kuwa wangeandamana kurahani hali ngumu ya maisha na ushughulikiwaji wa ufisadi nchini Tanzania, na kwamba zoezi hili lingefanyika pindi Mjomba atakapohudhulia mkutano wa UN cha kunishangaza Mh amekwenda na amepewa mpaka...
  9. Y

    Zambia Elections: Opposition (SATA) wins Presidential race!!!

    ni kweli bana hakuna amani muulize jamaa alishawahi ona wapi mtu muoga anakuwa na amani???
  10. Y

    Zambia Elections: Opposition (SATA) wins Presidential race!!!

    hatuna desturi ya kujifunza mazuri bali mabaya.... sie tungechengachengaaa wee alafu tunatoa boko!
  11. Y

    How to use JamiiForums effectively

    Nafurahi kuwa member wa Jf lakini kama wengine walivyotangulia kusema kiukweli nami napata shida kidogo lakini naamini kila kitu kitakuwa vema maana ugeni nao unachangia pakubwa....
Back
Top Bottom