Pendekezo: Rais Kikwete mteue Dr. Slaa kuwa mwenyekiti wa Tume ya kutunga katiba

Katika hili sasa mnapuuzana wenyewe kwa wenyewe, mlimsifia TUNDU LISSU kwa hotuba yake juu ya mchakato wa katiba ambayo wengi tuliiona kuwa ilikuwa na lengo la kuvunja muungano na ndiyo maana wakagomea mjadala bungeni....kwa nini msimpendekeze huyo ambaye kitaaluma ni mwanasheria?

am informed that Dr Slaa is also a cannonic lawyer!!!!!!!!!!!!!!!
 
rais atateua kwa kutumia busara yake sio nyie mumlazimishe.slaa bado anakabiliwa na kesi ya kuiba mke wa mtu

wewe boya kweli wewe, habari za wake zimetokea wapi tena, tukianza hivyo mbona unaweza kushangaa hata huyo unae mwita rais amekujaje hapo na rundo la wake..............
 
Walio suport hii hoja wote ni mambumbu wa fikra. Mnatuabisha great thinkers jamani. Acheni ujinga wenu.
 
hunachekesha kweli,kumbe ulitaka na wezi wa wake za watu wateuliwe? any way,nimeskia mkuu,napendekeza katika wajumbe watakaoteuliwa wao wakae wachague mwenyekiti wao kama inavyofanyika kwa spika wa bunge

wao wenyewe wachague mwenyekiti wao, ila kuna umuhimu wa watu kama Dr. Slaa kuwepo
 
Slaa kashindwa kusimamia sheria za kanisa, ataweza za nchi? kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Katika mwenendo wa utungaji wa katiba nadhani kuweka imani ya watanzania waliopoteza juu ya umakini wa mchakato wa Kutunga katiba mpya namshauri Jk kumchagua Dr. slaa kuwa mwenyekiti wa tume ya kutunga katiba mpya.

SOURCE:Godwine

Duh! Naunga mkono hoja ilaaaaa???????????
 
slaa kashindwa kusimamia sheria za kanisa, ataweza za nchi? Kwi kwi kwi teh teh teh!

ribosome unaongea bila kufikiri ni sawa na wewe unavyojifanya unampenda mke wako ama gel friend wako unamhakikishia kwamba hata kusalimia wasichana huthubutu!
 
ribosome unaongea bila kufikiri ni sawa na wewe unavyojifanya unampenda mke wako ama gel friend wako unamhakikishia kwamba hata kusalimia wasichana huthubutu! WAKATI UKIONA SKETI UNAGEUKA GEUKA NA KUSALIMIA!!
 
ribosome unaongea bila kufikiri ni sawa na wewe unavyojifanya unampenda mke wako ama gel friend wako unamhakikishia kwamba hata kusalimia wasichana huthubutu!

Ni kipi ambacho hujakipenda? kwani ni uongo kuwa Slaa kashindwa kusimamia sheria za kanisa na akaachia ngazi yeye mwenyewe bila kushinikizwa?

Naona wewe ndiye unaandika bila kufikiri, au huupendi ukweli? Sasa nipe wewe sababu za Slaa kuuwacha uchungaji kama si kushindwa kusimamia sheria za kanisa (Kanoni) ilhali yeye ni daktari wa kanoni.
 
hili naliunga mkono moja kwa moja
Katika mwenendo wa utungaji wa katiba nadhani kuweka imani ya watanzania waliopoteza juu ya umakini wa mchakato wa Kutunga katiba mpya namshauri Jk kumchagua Dr. slaa kuwa mwenyekiti wa tume ya kutunga katiba mpya.

SOURCE:Godwine
 
sometime tunakosa cha kuzungumza kwanini usikae kimya??? mi nadhani aliyetoa hii thread amejaribu kuwaona watanzania kwa mtazamo wake anahisi slaa kuwa pale atarudisha imani kwa kiasi fulani ni wazo....tutumie hoja kubisha sio tuibishie hoja....dah i think we are great thinker right then let show up!
 
Ndani ya chama kuna watu wenye hisia halisi za kweli za utaifa na kwa kuwa tulilazimishwa chama kuwa ndiyo mahali halali pekee ndiyo maana unawakuta wapo kule kama kina Silaa kuwa katibu siyo kutofaa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom