Kama unabishia hadi hizo data nadhani unatumia zaidi MASABURI kufikiri instead of brain,shame on you..!!mkuu upo sawa kabisa ila tupatie chanzo cha hizo data zako (au ni za kufikirika tu?)
Mkuu nimekubali uchambuzi wako.[h=6]Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/= hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=
kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......[/h]source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania
mkuu upo sawa kabisa ila tupatie chanzo cha hizo data zako (au ni za kufikirika tu?)
[h=6]Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/= hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=
kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......[/h]source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania[/QUOTE
Hapa ndipo napotambua ya kwamba hakuna mwanasiasa wa Tanzania anaegombea kwa mtazamo wa kumuokoa mtu wa chini, unajua ukiangalia ni kwanini ccm anatumia pesa kiasi hicho ni vile tu mtandao kwani anaamini akiwa na viti vingi bungeni uovu utafichika lakini CDM wao wanakaa chini na kuona kuwa hapa lazima na sisi tujizatiti kung'oa haya magamba, lakini nadhani ata baada ya uchaguzi wananchi wanapaswa kuambiwa uchaguzi ulivyokwendaje na pengine tungetumia pesa hizi kuanzisha mitandao ya vijana kwa kila wilaya ambao ni rahisi kuwawezesha kwenye shughuli za maendeleo kwa miradi midogo midogo ya kuingiza kipato huku wakihubili na kueneza elimu ya haki na usawa kwa maeneo husika tena kwa takwimu ili mwisho wa siku lainiiii bila kuumiza wala kutumia pesa!! sasa ccm inaposhinda kwa ghalama kiasi hiki alafu nchi ina wasomi wanakaa kimya unategemea nini???? then slaa anakazi na pengine yuko peke yake.... ni mawazo yangu!
habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba ccm ilitumia 3biln, chadema 400mln na cuf 150mln...ccm wamepata kura 26,484, chadema kura 23,286, cuf kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni ccm-hii niliyobadilisah rangi ndo source: Nipashe,.....!3,000,000,000/26,484=113,275/=
cdm-400,000,000/23,286=17177/=
cuf-150,000,000/2,104=71,292/= hivyo basi
ccm imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
cdm imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
cuf imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=
kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......
source:nipashe,tanzania daima na mtanzania
Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/= hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=
kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......
source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania
Tupe Mchanganuo Wa Matumizi Kwa Kila Chama.