Recent content by Yanabadilika

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Je, Mama ni Mungu?

    Mama yangu alienizaa alikuwa watofauti alinikataa ,akutaka kabisa ata kupokea msamaha niliomuomba kipindi chote Cha maisha yake mpka anafariki kuachana na baba yangu akanijumuisha mpaka na Mimi nisie na hatia ! Yote nilishaga yasamehe na nikamzika kwa amani, licha ya kunitamkia Mara nyingi kuwa...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za mitumba za watoto

    Upo wapi mkuu,mbona kila post unatangaza biashara yako bila mawasiliano
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Fursa ya mafunzo kukuza ujuzi kwa njia ya uanagenzi(apprentice), Kwa hatua hii vijana tutanufaika sana tuwahi fursa

    Washatoa ya vituo vyote tembelea dbtz.org upakue majina
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Fursa ya mafunzo kukuza ujuzi kwa njia ya uanagenzi(apprentice), Kwa hatua hii vijana tutanufaika sana tuwahi fursa

    Wadau kwenye website ya chuo cha osterbay nmeona wameshayatoa majina ya waliofuzu kujiunga ebu tembelea donboscoysterbay.com kama ni yenyewe
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ufunguo wa kweli wa kujiajiri upo VETA, graduates njooni mfanye short course mpate skills za ziada

    hao veta wanasema cheti cha kozi fupi unakipata mwezi mmoja baada ya kuhitimu,kwasasa kuna waliohitimu tangu mwezi wa kwanza mpka mwezi huu wa 7 vyeti bado wanawazungusha
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali mbioni kuchapisha noti mpya, kuna hatari ya kuelekea kwa Mugabe, harufu ya tenda za kifisadi zatawala

    huu uzi unanizidisha chuki juu ya jiwe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuwaje unafanya yote haya na bado unatukanwa na kudharauliwa bila sababu za msingi

    mkomoe mle 0713 labda hatokubeza Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Wale waganga wa kienyeji waliokuwa wakiongozwa na mtu mzito wameishia wapi siku hizi?

    lifunguliwe tu jukwaa la ulozi maana unashika kasi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Uchawi imani potofu zina application kwenye kilimo?

    unaogopa kujilinda wewe na mali zako,kilimo utakisikia kinalipa kwa wenzako
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Giza: Unapotembea usiku na mwili ukakupa taarifa ya eneo ulipo,fanya haya ili kuepuka kuwa lift ya wachawi

    sikujua kama wachawi wanambebesha mizigo mtu asiye kuwa usingizini
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Ajali ya waziri wa utalii... Je ni vita ya ndani ama ya nje?

    background ya dr Mwaka alishawai kuwa mganga wa kienyeji si ajabu amerusha kombola la kichawi
  12. Y

    JamiiForums Tanzania fursa:t.shirt na mashati ya kiume

    siyo mitumba
Back
Top Bottom