Habari wadau!
Nadhani watu mtashangaa kuona bandiko hilo lakini kumbuka nimeweka alama ya kuuliza kule mwisho tena mara nne ili hata wale wazee wa fasta fasta waelewe hilo ni SWALI NA SI SENTENSI.
Aisee kwenye dunia hii kama umezaliwa eneo ambalo mama yako ni mstaarabu basi shukuru ila kama umezaliwa sehemu mama mkorofi DUMIA hii utapata tabu sana kila mtu anaongea lake.
- Utasikia ukitaka kufanikiwa ww msikilize mama
- Mara sijui mama ndio anatoa riziki
- Mara mama ndio mama NK.
Yote ni kumpa utukufu Mama
Je, ufanye nini kama mama yako akikutukana?
Je, ufanye nini kama mama yako ana kisirani?
Je, mama ni MUNGU?
MASWALI
Je ni kwann mama hupenda kuongea kwa kelele na wana wa kiume lakini huongea kistaarabu na wana wa kike mean dada zako ?????
TUANZIE HAPO !!!!!!!!!!!!!!!!!
MWENDELEZO / UPDATES
nimepitia comment za wadau kila mtu anaongea lake ila hii comment imenigusa
Kabisa muheshimiwa.
Unajua most of wale wanatukana...ni ili watu wengine wawaone wako perfect kumbe wana yao wameficha... unajua ile taswira ya kutaka cha kwako kionekane better. Kwa sababu unayo attachment, kwa iyo kikionekana na udhaifu basi wewe unao.
Man, i used to think my mum was perfect mpaka nilivyo grow up...naanza kuona reality. Umbea, beef ambazo hazina tija, kucomplain na hutaki kupewa solution, kuwa na double standards, kutokutaka kuambiwa ukweli(na ukijaribu kuongea bila ugomvi ni unajibiwa na kelele), dellusions...yani hizi ni shida za kila siku za wanawake. Every woman has them.
Na haimaanishi ni mtu mbaya....its just what it is.... na ninampeeenda tu sana.