Uchawi imani potofu zina application kwenye kilimo?

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,716
2,000
habari za leo wote? nipo shamba shamba kweli kweli Bagamoyo ndani ndani nimeamua kulima tikiti japo ni mara yangu ya kwanza kulima ila nimeogopa kwa maneno ya wenyeji

Ushirikina ulivyoanza

nimekodi heka nne ile nimemaliza kulipia tu mwnyeji wangu akaniambia nitafute mpandio na dawa ya kulinda shamba

siku ya pili natafuta vibarua

nkaambiwa nitafute wasukuma ndio kidoogo wanaweza kufanya kazi bila kuharibu Masharti moja kati ya sharti ni kupata vijana wasiokunywa pombe na ambao hawatazini hadi ntakapovuna tikiti

Tubadilishane uzoefu huko kwenu ukoje?
nahofia nkiacha kuloga ntafail na kufanya shirki naogopa
 
DrLove69

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
3,122
2,000
Katika sehemu hizo hayo mambo yapo. Kama huamini jaribu kulima bila kufuata muongozo wa wenyeji halafu utaona matokeo yake.
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,625
2,000
Unaweza kuwepo uchawi katika kilimo.
Kuna ndugu yangu alilima na mwenzake ekari kama tatu za tikiti. Msimu wa kwanza walivuna vizuri tu na kugawana pesa. Msimu uliofuata wakavurugana katika kulihudumia shamba. Ikabidi huyu mmoja amuondoe mwenzake na akalihudumia mwenyewe shamba. Mwenzake akakasirika na kumwambia hatafanikiwa bila yake, na kweli jamaa hakuvuna hata tikiti moja..!!! Licha ya kuhudumia kuliko msimu uliotangulia.!
 
Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
5,244
2,000
Tena kwenye kilimo uchawi ndio nyumbani . Omba usilogwe kwenye kilimo kama umekopa utazimia . Sikiliza, unaletewa wadudu, mafuriko , ugonjwa wa mimea tena sehemu yako tu . Au kama ni mahindi yakashamiri sana na mhindi mkubwa lakini ndani hakuna punje. Lolote lile ili mradi ukose. Hii sayansi noma , wewe acha tu , makini kuwasikiliza wenyeji . Ama vipi wewe pasua sala za kilokole upige magoti mpaka yachubuke lakini wapi!!!
 
Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
14,911

Ndio maana naipenda jf badhi ya watu humu wana mawazo muzur tuu
 
Amanikullaya

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,109
2,000
Matikiti yanakomaa kwa miezi mingapi?kwa muda wote mtu asishiriki tendo kabisa au asichochore? Hakika kwa MUNGU kuna raha sana ,Hakuna Sharti ata moja
 
Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,716
2,000
habari za leo waungwana wa Jf poleni na msiba mzito uliowafikia

bado nipo kwenye kilimo nimeona niwashirikishe hili

leo wakati nimekaa na wazee wenyeji wangu bado wananielekeza jinsi ya kuishi na wakwere wazaramo kwa ufupi watani zetu wa pwani

wakawa wananieelekeza uchawi kwenye kilimo nkawauliza hivi kwann mtu anatumia gharama nyingi kumfanya mtu mwingine asipatekwene kilimo angali yeyeamekaa tu na inawezekana hafanyi kilimo

wakaniambia hii ndo pwani huwaga kuna tabia ya kutaka kufanana kama ni umasikini basi ni heri wotekuwa masikini kuliko mmoja kuwazidi wengine

akaendelea kusema hawatumii gharama kubwa kama ni mwanamke akiamua anaweza chukua jani moja la mche wa mtikiti au maua ya zao lolote basi akilipaka damu yake linakauka ama mazao yanapata magonjwa ya mara kwa mara

dawa yake akaniambia toboa ndulele kwenye vijiti vitano kisha weka kwenye pembe za shamba na katikati

tubadilishane uzoefu ulishawah kusikia haya?
 
Mahole

JF-Expert Member
May 17, 2018
684
1,000

We endelea kuamini ushirikina kama ushindwe kufata kanuni za kilimo bora kama utapata mavuno
 
mtena

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
2,236
2,000
Ushuhuda wa Tukio la ushirikina mjin Kigoma.

Habar zenu Wadau
Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa mzee Kingwele anaishi Mpakan na Congo.

Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu.
Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbalimbali ila idadi kubwa ni wanawake.

Tukiwa pale kuna mteja mmoja ndio alikuwa anahudumiwa na Babu.

Ndipo kwa mara ya kwanza kuona Babu akivuta msukule kupitia Mitambo yake.

Ndugu wa yule mgonjwa walilia sana kwa furaha.

Ikawa babu anahangaika na Madawa ili amrejeshe vizur akili yake aweze kuongea.

Wakat tupo pale baadae nikaona tena Wagonjwa wengine wakitoa shukran zao kwa kumpa Babu zawad.

Nilijaribu kudadisi kwa Wajukuu zake nikaambiwa.

A) Mzee Mangi alikuwa na kesi ya Kuua lakin file la kesi yake lilipotea hivyo kesi ikafa na yule Afande aliyeshika file alipata ajali na amelazwa hospital

B) Mama Omar alifanikiwa kurudiana na Mume wake aliyemtelekeza takriban miaka mitano.
Mama huyu alihudumiwa na Babu kwa siku saba tu

C) Ustadh Hussen nae alifanikiwa kupata utajir kwa njia nyepes tuu siyo kuua binadam bali kuchinja Mbuzi mmoja kwa Mwaka kila Tareh ikifika

D) Nikaona ...... Akimkabidhi babu Solar baada ya kufanikiwa kuua ndugu.... Aliyekuwa akimsumbua Sana.

E) Mama Zuwena alitoa sh... Ya shukran kwa Babu baada ya Mgahawa wake kujaza wateja sana na chakula hakilali.
Hivyo dawa ya Mvuto wa biashara iliyochanganywa na .... Ilifanya kazi vizur.

Note: Shoga yangu nae alirudishwa kazin baada ya wiki moja na hivisasa tupo Dar tumechukua likizo angalau tubadilishe Mazingira..

Kiufupi huyu Babu anawajukuu zake ambao ndio huwa anawatuma kuchimba dawa na anachanganya na VISIMBA na mambo mengine anayoyajua yeye....

Mmh! Najua kuna watakao toa Povu ila uhalisia ni kwamba Ushirikina/Uchawi upo na watu wanapata huduma mbali mbali wanafanikiwa ila watakaosema Uchawi haupo basi hao hawajapata matatizo.

Namba za huyo Babu.
(+255678134718) kwa ufafanuz zaid..
Mhhhh aya endelea kumpiga debe tu hyo babu yako matak* yak meusi kam chungu
 
smmpilly

JF-Expert Member
Dec 17, 2017
213
250

Haya JF tafadhari mpatie Invoice yake alipie Tangazo.
 
Timiza

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
5,140
2,000
Amwage chumvi ya manuizo pembe NNE,kinga tosha wakija uona bwawa
Tena kwenye kilimo uchawi ndio nyumbani . Omba usilogwe kwenye kilimo kama umekopa utazimia . Sikiliza, unaletewa wadudu, mafuriko , ugonjwa wa mimea tena sehemu yako tu . Au kama ni mahindi yakashamiri sana na mhindi mkubwa lakini ndani hakuna punje. Lolote lile ili mradi ukose. Hii sayansi noma , wewe acha tu , makini kuwasikiliza wenyeji . Ama vipi wewe pasua sala za kilokole upige magoti mpaka yachubuke lakini wapi!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom