Recent content by yamoyoni mwangu

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wenzangu nani kawaloga?

    Wazee hope mko pouwa. Kwa kitambo nimekuwa busy na mchakato ya maisha so two months iliyopita nimerudi jukwaani niliyoyakuta ni aibu hata kuwaeleza. Sorry mwanzoni nilikuwa nadhani nimeingia jukwaa la utani na vichekesho kumbe nilikuwa wrong...! nilichokuwa nakiona na kukisoma kilikuwa...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Sio mimi ni rafiki yangu

    aache wehu hilo n pepo nabii ....ye aridhike, anaendekeza ngono tuuuu..... et amedata ina maana atakutana na wakaka wangapi mpaka kufa kwake...? wanawake bwana Mmmh ....
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mavazi rasmi ya ndani kwa akina dada ni yapi

    duuh nalo neno, me nawasubir wadada waje watujibu.... bt for me naona yoyote ila istili mwili...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nassari agawa madawati ya shule Meru, Madiwani wa CCM wayakataa

    akili kubwa na akili ndogo pima mwenyewe kama 2tafika kwa ubinafsi huu1
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ualimu ni kazi kweli ila..........

    Nipo Moshi mjini vipi wenzangu ni mwalimu yupi unayemkumbuka shuleni sana enzi ukiwa sekondari? Na alifanya nini? Mimi pale Anna Mkapa Sekondari namkumbuka Nkya yaani...........simalizii.vipi Rau,Mji mpya,Msaranga,J.k,Kiboriloni na Msasani tukumbushane.usiku mwema masela
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Ualimu ni kazi kweli ila..........

    nipo moshi mjini vipi wenzangu ni mwalimu yupi unayemkumbuka shuleni sana enzi ukiwa sekondari? Na alifanya nini? Mimi pale anna mkapa namkumbuka nkya yaani...........simalizii.vipi rau,mji mpya,msaranga,j.k,kiboriloni na msasani tukumbushane.usiku mwema masela
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Hongera madiwani wa manispaa ya moshi

    Kiboriloni kuwa na kidato cha tano naunga mkono hoja ila kuna mwl.mmoja ni mkali siku hizi nasikia hayupo
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa UKAWA leo mjini Musoma katika picha

    Pamoja daima
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Vurugu zatokea Mkutano wa UKAWA Mufindi, wapokelewa kwa mabango

    Ukawa msitikisike wengi tupo nyuma yenu nawaonea huruma hao madereva bodaboda serikali ya ccm inawafukuza katikati ya mji kwa madai ya kuchafua mji mfano dar,arusha na kwingineko leo wanatumika???? Ila wataisoma siku moja.ukawa chapeni mwendo anayeuliza kwamba ukawa wanatumia resourse kupoteza...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaume

    we mchaga nini unatakla jamaa aongelee mkwanja ili ujue namna ya kumchuna acha hizo..... of course kweli kila jambo na wakati wake im not sure kama kuna mtu ataongelea love connect all the time atakuwa bururaaaa....
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Eti nchi kwanza..... Unafiki mtupuuuu.....

    Wapendwa watanzania wenzangu...... naamni kwa sisi wachambuzi wa masuala ya KISIASA tumekata tamaaa na jinsi mchakato wa katiba unavyo endeshwa....amin nakwambia katika siku 40 na kitu zilizo baki wajumbe wataanza kurudi kwao mapemaaa..... kuanzia wiki ijayo kuendelea na majukumu yao ya kila...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini akina dada wanapenda kuanika kufuli zao hadharani?

    haaaaaaaaa.......................... hakynaniiii.....we mwanamke kweli uko siriazx
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kusema naomba kinga dukani

    mwanaaa..... hata mimi nilikuwa hivyo lakini sa hivi nafunguka tuu.... mficha maradhi....kifo humuumbua we funguka....
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Namtamani sana dem wa mshkaji wangu sijui nim.....!!

    mwogope mungu shauri yako yetu macho....
Back
Top Bottom