mkuu tatizo watu wengi na unataka huduma!
hahahaha
mkuu siku hizi watu wanamawazo mabaya na hii kitu hasa ukikuta kuna watoto
Naona umeongea kwa rejesta za kimahkamaniBora utamke majestically kuwa nipe condom kuliko fedheha ya kununua Arvs na kuhudhuria clinics.
jamani bro...unaona aibu kusema condom?wakati watoto wa primary wa darasa la kwanza wanasema hilo neno on a daily basis....wakuu naombeni uzoefu wenu huku mitaani.
Kwangu mimi hizi zana huwa naendaga hospital nazoa za kutosha na huwa nakuwa huru kwani hakuna mtu anayekufuatilia
Sasa leo ziliniishia nakona isiwe tabu nikaenda duka la dawa kujinunulia mzigo .kufika pale nikakutana na mhudumu mzuuuri akiwa ana hudumia wateja mdomo wangu ukawa mzito.
Je wakuu pakiwa na watu wengi ni neno gani la kutamka bika kuharibu maana kwa watu kuwa labda ni mzinzi!!
Naona umeongea kwa rejesta za kimahkamani
daah mkuu umeenda mbali sana
hiyo foleni naiogopa sana na ndio maana najilinda sana