Basil Lema
Member
- Jan 20, 2013
- 86
- 277
Hizo picha zilichukuliwa mapema kabla ya saa nane mara tu viongozi hao walipowasili Musoma, kama anavyoonekana mzee Ndesamburo akitoa udhuru wa kuondoka mapema kabla ya mkutano ili awahi kikao cha bunge leo hii.Hii ni aibu, Ukawa jiangalieni hii ni mbaya sana.