Recent content by yamka

  1. Y

    Padre Mapunda, huyaoni haya mazuri ya Kikwete?

    Ni wanafiki wakubwa hao ma padre...wengi wao wamejificha kwenye hiko kichaka cha utumishi wa kiroho ili wajipatie maisha kiulaini ikiwemo kuomba misaada kutoka ng'ambo na sadaka za waumini sichelei kusema hiyo ni kazi kama kazi zngne za kujitafutia maisha, ingawaje kwa sehemu ndogo aidha...
  2. Y

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Domo fereji..huyo,amepanic, hiv huyu jamaa anataka kutuaminisha upuuz wake, na kiuhalisia katika watiania ya urais hakuna anayemfikia lowassa kwa ujasiri,uwezo na historia chanya ya kulitumikia taifa la tanzania
  3. Y

    Lowassa atumia zaidi ya Sh. milioni 500 ili ashinde Tuzo ya Mwanasiasa mwenye Mafanikio katika Jamii

    Mwalimu......mimi naona jamaa wa WAMA Project wamejitoa ufahamu kabisa kwa upa kisogo uhalisia,kwan iko waz kwamba wananchi wengi katika jamii za kitanzania bila kujali tofauti zao za kiuchumi,kidini,kisiasa na kiumri wanamuunga mkono mh.Lowassa, kwa kweli ule usemi wake "huwezi kuzuia mafuriko...
  4. Y

    Lowassa atumia zaidi ya Sh. milioni 500 ili ashinde Tuzo ya Mwanasiasa mwenye Mafanikio katika Jamii

    Vox populi vox dei....yaani saut ya wengi na sauti ya Mungu,lowassa ni sauti ya wengi,hivyo hatuwezi kushangaa leo lowassa kutwaa tuzo hiyo kwan uwezo na sifa zake zinambeba.zaid bwana lizaboni unapoteza muda wako kubumba thread za kumchafua mzee lowassa,hiyo kaz ya kufifisha taswira ya lowassa...
  5. Y

    Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

    wana agenda ya siri hao jamaa wasitufanye wavivu wa kufikiri kwa kutaka kutuaminisha kuwa wanafundishwa mafundisho ya mwenyez Mungu.Kwanini wasifundishwe hayo mafundisho hukohuko maeneo wanakotoka,kwani pia kuna masikiti!
  6. Y

    Shida za watetezi wa Gwajima ni hizi

    Kwa kweli pocha2..na mimi pia nashangazwa na watu waliojitoa ufahamu na kuona maneno ya Gwajima hayana shida kwa kardinali Pengo.....kimsingi tunafifisha uhalisia wa mambo yaani ni sawa na kumwambia mtu mwenye akili zake timamu na utashi kuwa "Haki maana yake ni dhuluma, na dhuluma maana yake ni...
  7. Y

    Updates: Yanayojiri CC ya CCM

    woga na wivu ndio msukumo wa chuki dhid ya lowassa kwa wale ambao hawako nae kwan upepo wake unatisha
  8. Y

    Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

    Sauti ya weng ni saut i ya mungu...lowassa anaungwa mkono na watanzania wengi nje ya itikadi za vyama vya siasa,dini,kabila n.k na mnaosanifu hoja za kufifisha jina lake mnapoteza nguvu zenu bure nadhani mmejitoa ufahamu kwa ajili yakuwafurahisha mnaowataka/kuwatumikia ili muonekane mnafanya...
  9. Y

    Video: Makonda sasa amgeukia na kumshambulia Lowassa

    Kijana kajikata miguu mwenyewe ktk tasnia ya siasa hawez kusonga mbele...asubir tu amalize kpind hich kidogo kilichobaki
Back
Top Bottom