Recent content by Yales

  1. Yales

    Kwanini Viongozi wengi hawafi Natural Death Je ni Karma au?

    Ukipanda mahindi usitegemee kuvuna mpunga, Nimefatilia kwa undani vifo vya viongozi wengi wale waliofikia vyeo vya Juu vifo vyao vimegubikwa na Utata mkubwa sana Huku Uhalisia wa taarifa juu ya vifo vyao vikibaki Kuwa classifieds kwa viongozi wanaobaki, Kuongoza Watu ni kazi sana kiasi kwamba...
  2. Yales

    Wazo: Makao Makuu ya Kanisa Katoliki yahamie Dodoma

    Mimi sio mwislamu wala mkiristo mkuu mimi ni mwafrika na Mtanzania. Afu next time jifunze kutofautisha Nguvu na Ushawishi, Pope ana ushawishi mkubwa sana duniani ila sio Nguvu.
  3. Yales

    Wazo: Makao Makuu ya Kanisa Katoliki yahamie Dodoma

    Wazo zuri ikiwa hamtapitisha bakuli lenu serikali
  4. Yales

    Jamani mimi kwa Hellen Dausen niko hoi

    Watu tuko tofauti kweli Helen ni wakawaida Huyu ni sanchoka
  5. Yales

    Scholarahip kwenda nje 2018

    Kwanini usiweke link boss watu wa join haya mambo ya kutuma namba PM yanatishia usalama wa umu ndani
  6. Yales

    Wahenga wenzangu hii gari inakukumbusha nini na wapi?

    Fiat izo mzee inanikumbusha mambo ya Ma uhamisho kota, Ukilisikia tu unajua kina fulani wanahama
  7. Yales

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Rostaminaaaaaaa
  8. Yales

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Thanks boss
  9. Yales

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Mkuu asante kwa Taarifa hizi, Ivi ilikuwa ni Sumu kwenye mic au kwenye chakula?
  10. Yales

    Kwako Zarina Hassan; Wapost na watoto wako wengine kwenye mitandao yako ya kijamii

    Latifa na Nilan si wanafanyiwa na Baba yao, Hao wengine wafanyiwe na Baba zao either wadogo au baba wakubwa incase baba yao mzazi kashatangulia
  11. Yales

    Kama una utaratibu wa kula kwa mama Ntilie pitia hapa

    Bata ukimchunguza huwezi kumla kabisa sio tu hao mama ntilie wewe kafatilia point to point huko hotel kubwa kama usipoishia kushiba bila ata kula, Chakula salama andaa mwenyewe kama Umeamua kutumia Junk food kwa Kuwa una ubize kubaliana na yote na Uache kuchunguza kikikushinda unasepa Restraunt...
  12. Yales

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Hata ungeanza 7/4/2001 ni Sawia kuna format zaidi ya moja ya kuandika Tarehe, so long as umespecify ni sabasaba na Tunajua saba saba ni Julai
Back
Top Bottom