Recent content by Yahusu

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta ALLY BOXER

    Wakuu huyu mtu yuko wapi? Aliwahi kuwa bondia miaka ya nyuma akifanya mazoezi gerezani eneo maarufu kwa ndondi. Kijiwe chake Kariakoo mtaa wa Kongo na Magomeni mapipa. Yuko wapi Ally boxer?
  2. Y

    JamiiForums Tanzania RE:Chachandu ya gold

    Aaaaa dada si afadhali nikanunue matofali nianze kimsingi tupate pa kulala?
  3. Y

    JamiiForums Tanzania RE:Chachandu ya gold

    dada unaneno makari weweeee
  4. Y

    JamiiForums Tanzania RE:Chachandu ya gold

    siwezi mkuu kukupatia namba ya mchumba wangu
  5. Y

    JamiiForums Tanzania RE:Chachandu ya gold

    Nimpe Bwana sifa na utukufu kwa kunipatia huyu mchumba, ananipenda na mimi nampenda panapo majaaliwa mwishoni mwa mwaka huu tutafunga ndoa. Tatizo ni kwa x-girl friend wangu alikuwa na chachandu ya gold kiunoni. huyu hana. nilipomwomba atafute chachandu kanipa jibu linalonikosesha raha kabisa...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Tangazo la biashara la Mtanzania limbukeni

    Wateja wake ni race zote mkuu. msimuonee
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa nini unidanganye? usinichkulie poa poa!

    kuna mmoja nimemwambia mimi mpare na yeye akasema ni half cast wa kimeru na mpare. baada ya siku chache nikagundua mama yake mdogo ndio kaolewa na mpare na hivyo wameunga undugu. nilichoka kabisa. ndoa sio rahisi kama hivooo
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Mbunge viti maalum Jamii Forum anatakiwa haraka

    Napendekeza kigezo kiwe anayeshinda online muda mwingi, na mtoa michango ya kigreat thinker tuachane na wanaoshinda MMU
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Mkapa alitudanganya, Mwl Nyerere hakufariki Oktoba 14 !

    tarehe ya kufa itatusaidia nini watanzania? Masihi na mtume wametangulia mbele za haki na hakuna mwenye exactly date of death. barikiwa
Back
Top Bottom