RE:Chachandu ya gold

RE:Chachandu ya gold

Ila wewe....umeniudhi! Huoni kosa lako kijana?!Kubeba makunyanzi ya mahusiano yaliyopita na kuyaleta kwenye uhusiano wako mpya unaodai 'unampenda' huku ukimfananisha na ex wako ni tabia chafu, tena mbaya sana!


Humu ndani kuna watu mnaona mbali zana!! Umenifurahisha kwa jibu lako.... chukua like
 
Haujaeleweka, tatizo ni kwamba hautaki gharama au unaogopa kwenda kununua? Kama unaogopa mpe hela au mtume mtu, kama gharama basi jipange. Sioni kwamba ni vibaya kutaka nae avae kama X wake maana kila mtu ana vitu vinamvutia.
 
Kwa kupenda mteremko hamjambo....
ndo maana wake zenu wanaliwa!
 
Mpendwa nakushukuru kwa salaam ulio anza nayo, At Umpe Bwana utukufu, hiyo ni salaam ya wanaoijua maana yake salam hiyo na ni nani anastahili huo Utukufu.
Baada ya hayo naomba nikuamibie kuwa weye unampa bwana wako utukutu tu sio Utukufu. Wa utukufu hautaki kwa watu ka weye. Mchumba tu, hujaoa, umeshaenda kumfunua utupu uone chain alio vaa. Shame on yu boy. Siku ya harusi, mchungaji/paroko akikuambia mfune shela utafunua nini?
Si kipindi cha mahubiri lakini tabia ka hiyo uliyo nayo hustahili hata kuoa mchwa wacha mtoto wa watu. Nenda kayatafute hayo yanayo tembea na pichu mkononi ndo yatakufaa si huyo. Kwa heri zako
 
una mambo ya ajabu sana, mambo ya x wako unayaleta kwa mkeo mtarajiwa.. afu umejuaje ka mwenzio anapenda kuvaa hyo makitu? wengine zinawakereketa viunon, badilika kijanaaa! af kama kweli ungekuwa unataka ungemletea kama zawad.
 
Yahusu are you okay in your mind? yaani utamu wako umwingize mwenzio kwenye madeni ya kununua dhahabu? we kweli mbulula
 
Last edited by a moderator:
Natamani huyu dada mchumba agundue mapema aina ya mchumba alie nae. la sivyo ataongeza idadi ya talaka na ndoa zilizovunjika.
Kwa uhakika huyu kaka hajawa tayari kisaikolojia na kiakili
 
Ila wewe....umeniudhi! Huoni kosa lako kijana?!Kubeba makunyanzi ya mahusiano yaliyopita na kuyaleta kwenye uhusiano wako mpya unaodai 'unampenda' huku ukimfananisha na ex wako ni tabia chafu, tena mbaya sana!
Huu mwanzo tu,baada ya chachandu atataka avae kama X,asuke kama X,atembee kama X!!!!
Bado anampenda X,so anataka ambadilishe huyu afanane naye ili aridhishe nafsi yake!!!
 
Aaaaa dada si afadhali nikanunue matofali nianze kimsingi tupate pa kulala?

Alaaaa! Za kwako ndio zina kazi ya maana ila za mwenzio za kununua vikorombwezo vya kukuvutia wewe!
Kesho utatamani asuke kimasai uta order tu,nani ana fund hujui,halafu ukisaidiwa utakuja kulalama Jf.
Wanaume wanapungua sana!!
Cc. Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom