Mchango huu babu ni hiyari sio lazma anayetaka atachangia hutaki basi au kama hunauwezo usichangie unatokwa povu na kipesa kinachotumwa kwenye M-pesa zile mnazopiga za migodini unajifanya huzioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Anampiga mzee kama kavunjiwa gari lake hilo gari sio lake ni gari la serikali na yeye hatowi shilingi kamuonea bure mzee wa watu halafu pesa zilizotumika kumsaidia matibabu ni kutoka office ya serikali eti kwasababu kapiga mkuu wa wilaya ukionga mtu anashindwa kuvumilia watoto wadogo ujuwe...
Mabadiliko yanakuja tusidhani kama cuf ikipotea ndo ccm itabaki salama hapana nayoitaenda tu hiyo ndo principle ya maisha hakuna cha milele duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kampuni imesajiliwa hapa nchini Tanzania kwanini ifanyekazi chini ya mwevuli wa lisu peke yake office kuu iko wap ?wewe jamaa wa kukamatwa unajuwa taarifa za kampuni inafanya kazi kinyume cha sheria halafu hisemi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mimi huwa najiuliza kati ya Lisu na Mheshimiwa nani na wanaomkubali nan yuko sahih kwasababu mikataba inaruhusu makinikia isafirishwe na sheria imewaruhusu inamana ukiwazuwia wasifanye hivyo umevunja mkataba utawalipa halafu kiuzembe wakupe tril 100 sahau kabisa Mzungu anaakili kama kapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.