Recent content by Xoxo2180

  1. X

    Hukumu ya bomoabomoa kutolewa saa nane

    Watanzania tuache kulalamika kwa kila jambo jamani hawa watu wamejenga mabondeni na ndo wanasababisha mafuriko kila siku. Na hao matajiri kumbukeni wengi wao sio kwamba wamejenga mabondeni wengi wao ni kwamba kwenye viwanja vyao ni kwamba wakuta wameongeza uwanja so at the end of the day wakuta...
  2. X

    Najuta kumnyima kura yangu Rais Mchapakazi JP Magufuli

    Sikumpa kura Magufuli na kura yangu itaendelea kwenda upinzani. Sio kwa sababu namchukia Magufuli na sio kwa sababu nachukia CCM hii ni kwa sababu bila upinzania kuwa mkali vhama Tawala hujisahau hivyo basi kama mwananchi nitajitahidi kuhakikisha kwamba chama Tawala hakijisahau nitaendelea...
  3. X

    Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

    Serikali iko chini ya sheria. Sheria inaruhusu mwananchi kulinda kura wao ni kina nani kukataza wakwendreeeee
  4. X

    Comrade Mwigulu aendelea kufuta nyayo za Lowassa Mbeya, Cheki Kyela mchana wa leo, 20.10

    Mtu hapigi kura kwa sababu amemwona lowassa au hajamwona n watu washafanya maamuzi sasa hivi
  5. X

    Kwa wale wanaosema watabaki kulinda kura bakini mpambane nao hawana chama hawa

    Nyie pigeni watu ila jueni tu ICC ipo
  6. X

    Kitabu cha Oktoba; DEAD AID (Kwa nini misaada sio suluhisho kwa nchi masikini na nini cha kufanya)

    Among the best books ever written for Africa. I wish it becomes part of curriculum in schools to build a generation that will not depend on International aids. We need more Moyo & less Bono
  7. X

    Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    The bottom line is Twiga waliuzwa nje ya nchi na serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi na serikali haijasema chochote so far juu ya Twiga hao. Wether Twiga ni weupe, weusi, wa kijani haijalishi
  8. X

    Wawili kizimbani kwa kuchana bendera ya CCM Mbeya

    Na Yule mtu wao waliomweka anachambia bendera ya CDM
  9. X

    Tanganyika Law Society statement on arrest, detention and prosecution of Adv. Masha

    Lawyers, Noble Profession. I love being a lawyer. I mostly love the jibby jabbers we use to confuse the rest of the world a two words statement is a two pages expression of drafted by a lawyer
  10. X

    Dawa ya kitambi hii hapa

    Kama umeamua kutangaza biashara hapa weka na bei usisumbue watu kuanza kukutafuta private wehu huo
  11. X

    Matatizo mengi ya ndoa zetu zinatokana na kutokukuta bikira wasichana tunaooa

    Naomba nakujibu hivi 1.kutolewa bikira has nothing to do na kutoka damu, kutoka damu ni kwa sababu Ya kutojua what you are doing na kingine bikira sio kwamba kuna kamfuko kamejaa damu kwamba unaenda kukatoboa hapana ni sehemu wakuta ni kwamba pamebana zaidi so the rougher you are the more the...
  12. X

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    Sikushauri umuoe out of guilty wote mtajutia ndoa. Lea mtoto ila oa ambaye anafurahisha roho yako afterall Kupata mimba NI Shughuli Ya watu 2 yeye kama mwanamke alijikingaje asipate mimba wanawake wengi tumekuwa NA tabia Ya kuwalengesha wanaume kisa twataka olewa wamlazimisha mwanaume akuoe...
  13. X

    Ushauri tafadhali: Wanangu wanakoelekea siko

    Pole ila naomba ku share na wewe Mimi kama mzazi huwa naongeaga ukweli na watoto wangu na wasifichi kitu kabisa na kitu kingine ni kwamba nimewaambia what I expect from them in terms Ya kuvaa kuongea na mambo Mengineyo nimeenda mbele zaidi na kuwapa masharti yangu kama mzazi mfano Kupata mimba...
Back
Top Bottom