Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Chipolopolo 2 naona unatimiza usemi usemao aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
Naunga mkono bomoabomoa lakini serikali mpya ingetoa angalau miezi mitatu kwa kuzingatia yafuatayo;
Kipato cha wakaazi, watoto,wazee,wagonjwa na elimu ya wanafunzi kushindwa kuhudhuriwa shule iwapo watakosa makazi